Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Magufuli husisitiza tumwombee, lakini asisahau waombaji pia tupo madhabahuni na tunamwomba Mungu ashughulike na moyo wake na style yake ya uongozi isiyo na chembe ya unyenyekevu...tunapoendelea kumwomba Mungu tuna uhakika na jambo moja - kuwa Magufuli hakika hataweza kuwafunga jela, kuwatesa na ama kuwasimanga kwa namna yoyote ile raia wanaokosoa utawala wake, kwa hakika vurugu zote hizi anazoendelea nazo zitasaidia kufanya utawala wake uwe mgumu na wenye majaribu mengi kwake, na kwa raia wasio na hatia!