Magufuli, hakika hutaweza kuwafunga jela raia wote wanaokukosoa

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Magufuli husisitiza tumwombee, lakini asisahau waombaji pia tupo madhabahuni na tunamwomba Mungu ashughulike na moyo wake na style yake ya uongozi isiyo na chembe ya unyenyekevu...tunapoendelea kumwomba Mungu tuna uhakika na jambo moja - kuwa Magufuli hakika hataweza kuwafunga jela, kuwatesa na ama kuwasimanga kwa namna yoyote ile raia wanaokosoa utawala wake, kwa hakika vurugu zote hizi anazoendelea nazo zitasaidia kufanya utawala wake uwe mgumu na wenye majaribu mengi kwake, na kwa raia wasio na hatia!
 
Magufuli husisitiza tumwombee, lakini asisahau waombaji pia tupo madhabahuni na tunamwomba Mungu ashughulike na moyo wake wa kukanyaga haki za raia na style yake ya uongozi isiyo na chembe ya unyenyekevu...tunapoendelea kumwomba Mungu tuna uhakika na jambo moja - kuwa Magufuli hakika hataweza kuwafunga jela, kuwatesa na ama kuwasimanga kwa namna yoyote ile raia wanaokosoa utawala wake, kwa hakika vurugu zote hizi anazoendelea nazo zitasaidia kufanya utawala wake uwe mgumu na wenye majaribu mengi kwake, na kwa raia wasio na hatia!
Mzee wa watu kalewa madaraka. Hapo akimaliza miaka miwili ndo sasa anaweza amaamulu polisi waanze kuuwa wote wanaotaja jina lake kwa hofu watamsema vibaya. Mungu huyu sijui ni wa aina gani? Na Kwanini aombe kuombewa? Ina maana anajua maombi yake hayawezi pokelewa akiomba mwenyewe?
 
Magufuli husisitiza tumwombee, lakini asisahau waombaji pia tupo madhabahuni na tunamwomba Mungu ashughulike na moyo wake na style yake ya uongozi isiyo na chembe ya unyenyekevu...tunapoendelea kumwomba Mungu tuna uhakika na jambo moja - kuwa Magufuli hakika hataweza kuwafunga jela, kuwatesa na ama kuwasimanga kwa namna yoyote ile raia wanaokosoa utawala wake, kwa hakika vurugu zote hizi anazoendelea nazo zitasaidia kufanya utawala wake uwe mgumu na wenye majaribu mengi kwake, na kwa raia wasio na hatia!
mtu anakosoa nia njema ya serikali kama kuzuia ufisadi, kuboresha huduma za kijamii kama afya maji, elimu ni lazima abomolewe tu kwa maslahi ya umma
 
Ni wangapi hapa jamvini mnakosoa daily na bado hamjafungwa? ingekuwa kukosoa ni dhambi basi hata wewe leo tungekusahau ...acheni kujitoa akili.
 
Magufuli husisitiza tumwombee, lakini asisahau waombaji pia tupo madhabahuni na tunamwomba Mungu ashughulike na moyo wake na style yake ya uongozi isiyo na chembe ya unyenyekevu...tunapoendelea kumwomba Mungu tuna uhakika na jambo moja - kuwa Magufuli hakika hataweza kuwafunga jela, kuwatesa na ama kuwasimanga kwa namna yoyote ile raia wanaokosoa utawala wake, kwa hakika vurugu zote hizi anazoendelea nazo zitasaidia kufanya utawala wake uwe mgumu na wenye majaribu mengi kwake, na kwa raia wasio na hatia!
wapinzani hawaishi ni sawa na kufukuza upepeo,marekani walipomua osama walijua sasa yamekwisha,likazuka kundi la islamic state na magaidi binafsi ndani ya marekani ni kilio kila baada ya muda
 
Mzee wa watu kalewa madaraka. Hapo akimaliza miaka miwili ndo sasa anaweza amaamulu polisi waanze kuuwa wote wanaotaja jina lake kwa hofu watamsema vibaya. Mungu huyu sijui ni wa aina gani? Na Kwanini aombe kuombewa? Ina maana anajua maombi yake hayawezi pokelewa akiomba mwenyewe?
Lugumi sasa ndiyo anatawala maana yote anawasahaulisha msikumbuke dili la Lugumi , sukari na Ujenzi wa kifisadi daraja la Kigamboni ambapo alimtunuku Dau kuwa balozi asiyekuwa na Nchi yeyote .
 
Mzee wa watu kalewa madaraka. Hapo akimaliza miaka miwili ndo sasa anaweza amaamulu polisi waanze kuuwa wote wanaotaja jina lake kwa hofu watamsema vibaya. Mungu huyu sijui ni wa aina gani? Na Kwanini aombe kuombewa? Ina maana anajua maombi yake hayawezi pokelewa akiomba mwenyewe?
Sidhani Kwa sasa Kama wapo wanaopiga magoti kumwombea tena , Mzunguko wa pesa upo vibaya hata sadaka ni shida kupata iweje mtu asiye na pesa mfukoni Hana sukari , Chaguo lake hayupo bungeni akiwa Mtaani anakamatwa ukifananishwa na jambazi unauawa kuna wa kukubali kupiga magoti kumwombea Baba J.e.s.c.a ?
 
mtu anakosoa nia njema ya serikali kama kuzuia ufisadi, kuboresha huduma za kijamii kama afya maji, elimu ni lazima abomolewe tu kwa maslahi ya umma
We nawe ninshabiki tu wala hutumii fikra zako kikamilifu.
 
5e281f9dd5237ced0c309f7d4206b1a3.jpg
 
Mimi sijaona maoni yoyote yaliyotolewa na chadema yoyote , ninachoona ni matusi kwa kwenda mbele.

Kwenu chadema matusi ni maoni ??

Nakubaliana na mpango wa Lowasa Wa kuibadilisha chadema kutoka chama cha uanaharakati hadi kuwa chama cha siasa.
 
Magufuli husisitiza tumwombee, lakini asisahau waombaji pia tupo madhabahuni na tunamwomba Mungu ashughulike na moyo wake na style yake ya uongozi isiyo na chembe ya unyenyekevu...tunapoendelea kumwomba Mungu tuna uhakika na jambo moja - kuwa Magufuli hakika hataweza kuwafunga jela, kuwatesa na ama kuwasimanga kwa namna yoyote ile raia wanaokosoa utawala wake, kwa hakika vurugu zote hizi anazoendelea nazo zitasaidia kufanya utawala wake uwe mgumu na wenye majaribu mengi kwake, na kwa raia wasio na hatia!

Ameweza tayari. Tunahitaji sasa kwenda hatua moja mbele yake. Mungu amiliki Tanzania na kuitawala, huyu na ccm yake watiishwe chini ya mamlaka ili wajue Yuko Mungu anayemiliki na kutawala ambaye humwinua yule na kuwashusha wafalme waendao kwa moyo wa kutakabari.
 
Back
Top Bottom