Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

Status
Not open for further replies.
IMG-20171002-WA0177.jpg
 
Kwa ufupi mimi naamini hakuna...!
Anayeamini wapo na hizo nyumba zipo ataje humu!
 
Kuwa na heshma kwa kiongozi wa nchi. Tumia lugha ya busara. Kama una hoji ungeomba tu ushahidi wa tuhuma na sio kutaka majina ya nani sijui. Watu wanajua lakini kufanya hivyo ni kumdhalilisha. Tumkosoe lakini tusimdhalilishe
Heshima ni kwa kila mtu/mwanadamu sio kiongozi pekee, tambua na thamini thamani yako. Hata wewe unaweza kuwa rais wa kesho. Huwa naona ni upumbavu sana mtu kudhani kiongozi anatakiwa kuthaminiwa sana kuliko watu wengine, wote tumeumbwa sawa, ndio mana kila mtu anakula, anakojoa, anakunya, n.k
 
Kwa muda mwingi sasa kumekuwepo na minong'ono kuwa Rais Magufuli pindi akiwa waziri aliwahi kuuza nyumba za serikali kwa bei za kutupwa na kwamba pia aliwahi kumgaia/ kuwagaia kimada/vimada wake mojawapo ya hizo nyumba.

Inasemekana kuwa hilo zoezi zima lilikuwa ni la kifisadi, jambo ambalo linamfanya Magufuli naye awe mmojawapo wa kubwa la mafisadi, kinyume kabisa na anavyojipambanua kuwa ni mpinga ufisadi.

Sasa inawezekana labda huyo kimada au hao vimada wanajulikana lakini ni mimi tu na/au wengine walio wachache ndo hatumjui/ hatuwajui.

Huyo kimada au hao vimada ni akina nani? Anaitwa au wanaitwa nani na wanaishi wapi na wanafanya kazi wapi?

Hiyo nyumba au hizo nyumba walizopewa na Magu nazo ziko wapi na [1] kuna ushahidi gani unaoonyesha na kuthibitisha kuwa kweli yeye au wao ni vimada wake na [2] alipewa au walipewa bure hizo nyumba?

Sio bure wewe utakuwa unawashwa washwa
 
Ok, nakumbuka enzi zile magazeti yaliandika sana na a name was mentioned.
 
Sina uhakika na motive yako juu ya swala hili ila nina concerns kadhaa hapa:-
1. Ni kweli kwamba nyumba za serikali ziliuzwa katika kipindi ambacho Mkuu wa sasa alikuwa waziri mwenye dhamana, na utaratibu wa kuuza zile nyumba hakuna shaka kwamba uligubikwa na misingi ya kifisadi/kutokuwa na utaratibu maalum, CAG wa sasa aliwahi kusema kwamba ile ilikuwa ni "Political Entrepreneurship".

Swali la kujiuliza hapa ni je, hakuna jinsi yoyote ambayo Waziri husika pia alifaidika?

2. Kama alifaidika (kama), haiyumkini moja ya watu aliowatumia kwenye faida hiyo ni watu ambao ni jinsia tofauti na labda watu ndiyo wakaafikia hitimisho la kwamba ni Kimada/Vimada.

3. Kama hakufaidika ni vizuri kwa rekodi zake, lakini pia inabidi tufikie mahali tufukue makaburi yote kama lengo kweli ni kukomesha ufisadi, kwa sababu ninachokiona tunafukua makaburi ya upande wa tofauti na sisi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom