Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

Status
Not open for further replies.
Anayesimama kumchafua magufuli kwa namna yoyote ile ni wa kuogopwa kama ukoma. magufuli ni ngumi jiwe na ni jembe
 
Lakini husemi kuwa Mkapa ndiye alieamuru nyumba hizo za serikali ziuzwe! Kwani kumiliki Hotel ni ufisadi, Lowasa anamiliki magorofa mangapi ya aina kama ile, au anamiliki vitegauchumi vingapi nchini tena kwa njia za kutiliwa mashaka kupita hiyo hotel unayotuaminisha ni ya Magufuli? Sasa inakuwaje, wakati huohuo unatushawishi tumchague Lowasa kuwa siyo fisadi?

Wewe kila mtu anayetaka kuwania urais tofauti na Lowassa, basi mtu huyo hafai tena, si ndiyo?

Hapa inaonyesha ukifanyacho katika kumpaisha Lowasa, ni kwavile unalipwa + ahadi! Means wewe ni mganga njaa tena kwa manufaa yako binafsi pengine hufai kusikilizwa kabisa humu jukwaani!
sasa kwa nini Lowassa kumiliki mali inakuwa nogwa ila kwa wengine inakuwa sahihi? hiyo ndiyo double standard ambayo hatutaki kwa sasa...... Pili ni Magufuli kwa maslahi yake binafsi ndiyo alishawishi uuzaji wa nyumba hizo...... angalia hapo Dada kabula kahongwa nyumba mbili kisa mbunje, only in Tanzania
 
je umetumwa kwa hili aukwa utashi wako tu....?

Pamoja na kwamba huyu bwana anaweza kuwa na hoja lakini napata wakati mgumu kuamini hekaya yake...

Mathalani utumiaji wa neno "shelly" kumaanisha kituo cha uuzaji mafuta unatia shaka juu ya taaluma ya mwandishi...

Na kwa uzoefu wangu watu wenye taaluma ndogo huongoza kuwa na majungu na wengi wao ni vibaraka...
 
Hapana mkuu ni mimi kabisa.Watu jasiri kama huyu ocampo four tena inawezekana hana kundi na wala hana chama kabisa wanapaswa kuungwa mkono kwa kuweka itikadi zetu kando wanapoleta mambo yenye uhakika kama haya
Tehetehetehetene! Eti ocampo four hana timu wala chama cha siasa? Wewe kweli umechanganyikiwa. Ocampo four anajulikana yupo hapa kumtetea Lowasa. Fuatilia tu utamgundua. Kazi kubwa anayofanya ni kujaribu kuwachafua wale wote wanaotaka kushindana na fisadi Lowasa kwenye mbio za urais.
 
Hapana mkuu unajua hapa ni maslahi ya taifa na watu makini na wazalendo kama ocampo four wamekua nadra sana sikuhizi humu.Sona shaka na data zake angalao hadi sasa

unatujazia saver wee mtu. ng'arisha kwanza viatu vya slaa ndio urudi hapa
 
Mkuu ocampo four

Ninakubaliana sana na maaudhui ya hoja yako.Wewe uko makini sana Mkuu katika hili.

WanaJF tunasubiri ushushe za Akina Membe,Sitta, Mwakyembe ,Wassira na January Makamba ili tuwe wa kwanza kujua mkuu

Unajua kwa muda mrefu sana watu makini kama wewe hapa JF wamekua hawapatikani kwa Urahisi

Shusha data mkuu

CC : Pasco, Manyerere Jackton, John Okello william j. Malecela Molemo okwi Boban Sunzu Yericko Nyerere , Matola na wadau wote
Pamoja sana Kamanda..... Lazima turudishe hadhi ya JF ya zamani enzi hizo nikiwa natumia Ocampo Seven........ Pamoja kaka
 
Tehetehetehetene! Eti ocampo four hana timu wala chama cha siasa? Wewe kweli umechanganyikiwa. Ocampo four anajulikana yupo hapa kumtetea Lowasa. Fuatilia tu utamgundua. Kazi kubwa anayofanya ni kujaribu kuwachafua wale wote wanaotaka kushindana na fisadi Lowasa kwenye mbio za urais.
Siyo kweli Mkuu.... Mimi ni mtu huru na nitazidi kuwa mtu huru kwa kufanya tafiti huru
 
Daaah,hoja hizi jamani hazitaki jazba.Ingawa uzi ni wa Magufuli lakini kwa mbali Membe ametajwa akichimbia hela za Gadafi kwenye mahandaki.na Pinda akiwezesha hela za Escrow kuibwa.Kifupi vijana wa Lowasa wako vizuri.
 
Mkuu ocampo four

Ninakubaliana sana na maaudhui ya hoja yako.Wewe uko makini sana Mkuu katika hili.

WanaJF tunasubiri ushushe za Akina Membe,Sitta, Mwakyembe ,Wassira na January Makamba ili tuwe wa kwanza kujua mkuu

Unajua kwa muda mrefu sana watu makini kama wewe hapa JF wamekua hawapatikani kwa Urahisi

Shusha data mkuu

CC : Pasco, Manyerere Jackton, John Okello william j. Malecela Molemo okwi Boban Sunzu Yericko Nyerere , Matola na wadau wote

Mbona Lowassa hujamtaja?

Au umeshahesabiwa?

Kama tunafunua madhambi tuwafunue wote tuchague afadhali afadhali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom