Magufuli, barabara ya Lusahunga - Muleba vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli, barabara ya Lusahunga - Muleba vipi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mamabaraka, Mar 3, 2012.

 1. m

  mamabaraka Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inatia aibu kuona kipande kidogo sana kinachukua zaidi ya miaka mitano kujengwa na bila kumalizika. Unajua mi nashindwa kuelewa hao wakandalasi wanafanya kazi gani. WAZIRI Magufuli na Mbuge wa jimbo la Biharamulo Anthony Mbasa hamulioni hilo? Au mnafurahia wananchi wa B.mulo wanaotokea Kahama, Dar na mikoa mingine kuzunguka Bwanga bila sababu? Mheshimiwa Magufuli tunajua unalipendelea jimbo lako la Chato ndo maana barabara za kupitia Choto zilijengwa kwa less than two years kisingzio lami za majaribio, lakini kumbuka hii barabara ya Lusahunga Muleba inakutia aibu kama waziri wa ujenzi, umesahau kuwa hii barabara inaunganisha nchi za Uganda, Tanzania na Rwanda? Au ndo unataka kupindisha barabara hiyo iwe ya Chato? Tumestuka na sisi wana Biharamulo tumefumbuka macho sio wale wa enzi zile,.?
   
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Hivi ni mreba au muleba?

   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,125
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Dah, hv hii barabara bdo haijajengwa tu?nakumbka ilianza kujengwa bdo nikingali nasoma pale katoke seminary.magufuri atakua na matatizo na jimbo lenu si bure kabisa.
   
Loading...