Magufuli Bado Anaishi kwenye Mioyo ya Watanzania Wengi

Watchtower

Member
Sep 18, 2022
93
182
Wakuu Pamoja na Mapungufu Machache aliyokuwa nayo Daktari John Pombe Joseph Magufuli bado mtu uyu ameshindwa kabisa Kutoka kwenye Mioyo ya Watanzania walio Wengi Kuna wakati paliwahi kuwa na sarakasi za Kujaribu Kufifisha Legacy yake lakini naona Plotters wa iyo Movie wamefail Pakubwa sana na Legacy ya Mkuu huyu wa Nchi wa awamu ya tano bado inaendelea Kujitetea yenyewe Uzinduzi wa Ikulu ya dodoma ambayo alipigania Sana Ikamilike wakati wa Uzinduzi naona Ni kama alisahaulika, Uzimaji wa Mitambo Kigoma na Kuunganisha na Grid ya Taifa mikoa ile Bado napo alisahaulika Fulani ila Pia Uzinduzi wa Uchepushaji wa Maji Bwawa la Nyerere pia napo mzee hakupewa Credit zake za Kutosha Ukiangalia kwa Jicho kali unaona kabisa haikuwa bahati mbaya bali ni Planned.

Sasa Tunaelekea Uchaguzi Mkuu 2025 tunamuona Tundu lissu bila kushurutishwa anataka Kwenda Chato kuona Kabuli la Mwamba JPM, Sisi tuliokuwa kimya muda fulani tunaomba kumtaarifu Tundu Antipas Lissu Kuwa kaburi la Rais yoyote ni Mali ya Umma hivo anakaribishwa sana Kuona alipo lala Mwamba na yote kwa yote Tutaendelea sana Kusikia Jina Magufuli Kwa vile Jina ili lina Karama ya Kusimama lenyewe na Kujitetea Lenyewe, Tutegemee Wanasiasa Wengi sana Kutafuta Sympathy kwa Community kupitia Jina La Shujaa Magufuli.
 
Rais mpendwa Magufuli atakumbukwa milele na Watanzania wapenda maendeleo.
 
Back
Top Bottom