Magufuli azomewa Mwanza

Namie nitumi vidéo kwenye hiyo no.0757469345
 

Huyo ndiye Magufuli, kwa kulazimisha mambo hajambo.

Pamoja na zomea zomea, mwisho wa siku alisalimu amri.

Kwani umma ukiamua umeamua, halali mtu hadi kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
Wale watu walio kwenye ule mkutano usikute ametoka nao mkoa wa pwani.
 
Hata siku tukimuapisha mtamzomea hivyo hivyo.......viroba na desperation hazipigi kura.
 
Jamani ukawa wenzangu
Hapo ni Kimanzichana
Msililizeni Makomeo anasema " ndg zangu wa Kimanzichana"

#Mabadiliko ni Lazima
 
Naona mwanza waliamua kwenda kumzomea kwa wingi jana. Nahisi hawa jamaa walijaa mpaka kwenye milima kule na kwenye maji wangesimama wangekuwa na uwezo.
 

Attachments

  • 1445217080305.jpg
    113.9 KB · Views: 295

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…