Magufuli azomewa Mwanza


nitumie kwa namba 0755345251
 
Last edited by a moderator:
HIVI NINYI VIJANA MNAOTOA NAMBA ZENU MNAJIAMINI NINI??
-Jiongezeni msije fikwa!
 
Nadhani hii ni mara ya pili au ya tatu kwa Waziri wa ujenzi Kuzomewa zomewa. Hii sio ishara nzuri hata kidogo. Ningeshauri ajaribu kuepuka kusimamisha msafara wake sehemu ambazo hajaandaliwa watu wa kuwahutubia. Sehemu nyingi hakubariki.

kwenye mkutano wake kuna watu walikuja na bendera za chadema
 
Mbeya kuna tatizo jana walikata nyaya za spika za lowasa, leo wamemshika makalio mama regina hata kuna watu wanatamani kichapo.
 
Huyu mzee maguu-fool amechanganyikiwa kinouma. Ni kimbelembele chake kinamponza, nani alimwambia asimamishe msafara wake sehemu ambayo haikupsngwa kufanyiwa kampeni. Wale polisi wa mabomu kwa nini hawakuvurumisha mabomu na virungu, kwani hawakuona hawa magamba wamesimamidha magari barabarani na kugeuza sehemu ya kampeni?

Pipooz pawa imeshategua viuno vya magamba.
 

0765651760 rusha
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hii ni mara ya pili au ya tatu kwa Waziri wa ujenzi Kuzomewa zomewa. Hii sio ishara nzuri hata kidogo. Ningeshauri ajaribu kuepuka kusimamisha msafara wake sehemu ambazo hajaandaliwa watu wa kuwahutubia. Sehemu nyingi hakubariki.

Mkuu huyu jamaa yetu amezoea kuandaliwa watu hata kama watatolewa wilaya nyingine haijalishi bora tu wamshangilie na kumtia moyo la sivyo na yeye angeshatoroka kitambo mbona.
 



Nirushie 0719354298
 
Last edited by a moderator:
Imechokwa na was.nge kama wewe.

Hadi walizi wa MILEMBE watakuwa wameichoka FISIEM hadi kujisahau na vichaa kama hawa KUTOROKEA mitaani ni kazi kwelikweli.
Lowassa amewashika makalio MAFISIEM hata goli la mkono sasa halina uhakika ilishakuwa tabu yanakosa usingizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…