Magufuli azomewa Mwanza

Nadhani hii ni mara ya pili au ya tatu kwa Waziri wa ujenzi Kuzomewa zomewa. Hii sio ishara nzuri hata kidogo. Ningeshauri ajaribu kuepuka kusimamisha msafara wake sehemu ambazo hajaandaliwa watu wa kuwahutubia. Sehemu nyingi hakubariki.
 
Atajuta kuukimbia mdahalo.
Mwache aipate joto ya jiwe mie nacheka tu.
 
Mwisho wa kutuita wanywa viroba jumapili.

Mi nimeangalia Live Misungwi sijaona hiyo kitu ila kuna mpango huwa unaandaliwa na ukawa kuandaa kakundi ka wajinga wachache na kuwalipa hela ili waigize japo kwa dakika chache na mtu huwa anarekodi ili kujaribu kumchafua magufulia lakini wananchi wameshafanya maamuzi na mnazidi kuwatia hasira hata waliokuwa hawana haja ya kumchagua sasa watamchagua Magufuli kwani ndie amiri jeshi ajaye, sio huyo wa kwenu sijui hata gwaride sijui kama anaweza kukagua! HAPA KAZI TU!
 
Naona sasa nguvu ya fiesta imezidiwa na nguvu ya umma na wameamua kufanya outsourcing ya wasanii.
Nasikia show za Chameleone huwa zinaanzia $25,000. Ngoja wahusika watatupa hesabu ya jinsi wanavyoongeza deni la taifa katika kuinogesha fiesta.

Chamachamapinduz...CCM
 
Magufuli, anajua wananchi hawamtaki... anaongea tu... CCM out..!!

Bado wiki moja tukombolewe..!!!
Wakoloni weusi CCM wamemaliza nchi yetu... wezi wakubwa..!!
 

Plz nitumie 0687432508
 
Last edited by a moderator:
Mbeya walimzomea ahadi za mbeya kazipeleka mwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…