Magufuli azomewa Mwanza

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,302
Reaction score
45,096
Leo katika hali isiyo ya kawaida mgombea urais wa CCM amepata shubiri ya wimbi la wana Mabadiliko baada ya kusimama na kujaribu kuwahutubia wananchi ambao walionekana kutotaka kabisa kuisikia sauti yake na kuanza kuimba kwa sauti kubwa Lowassa Lowassa Lowassa huku wakipeperusha bendera za CHADEMA na kumuonesha ishara ya vidole viwili.

Pamoja na kujifanya kichwa ngumu na kuadelea kuwahutubia uvumilivu ulimshinda baada ya kuona hakuna anayemsikiliza na kuamua kutimua mbio yeye na msafara wake.


Video ninayo whatp inazingua kuweka nipe number nikutumie.
 
Last edited by a moderator:

rusha 0657 607591
 
Tuwekee video fastaaaaaaa. Analazimisha mbuzi kula majani
 

nitumie mkuu 0719498000
 
Mkuu chongchung weka picha tujionee wenyewe mtu mzima akiathirika mchana kweupe
VIVA UKAWA!!!
 
Last edited by a moderator:

Wewe ni muongo sana, inakusaidia nini?
 

Mwanza ni kubwa mkuu. Ilikuwa sehemu gani ya Mwanza alipoionja hiyo joto ya jiwe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…