Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amezidiwa ghafla na kukimbizwa hospitalini na kulazwa ICU huko Dodoma wakati Bnge la tisa linaendelea.Kwa mujibu wa Naibu Spika, Job Ndugai Dk. Magufuli alikumbwa na homa ya ghafla ambapo baada ya kukimbizwa Hospital ilibainika kuwa presha yake ilikuwa juu na ana kichomi upande wa kushoto wa mbavuni.
Wakati huo Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu abbas ajali huko Morogoro katika gari alilokuwa akisafiria. Amekimbizwa hospitali ya taifa ya Muhimbi kwa matibabu zaidi.
Mwenye habari zaidi atujulishe.