Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
kumbe 2012Kiharusi
Duh huuyu Mrombo alikuwa na roho nzuri sana Mungu amuweke mahali Pema Peponi ipo siku atamlipia yote aliyokumbana nayoBen sanaane alimtakia mambo mazuri
kumbe 2012Kiharusi
Duh huuyu Mrombo alikuwa na roho nzuri sana Mungu amuweke mahali Pema Peponi ipo siku atamlipia yote aliyokumbana nayoBen sanaane alimtakia mambo mazuri
WoowNamtakia nafuu....
Okay! Sasa ilikuwaje mpaka.....Namtakia nafuu....
Mbona hakuwa akimtakia mabaya au tofauti zao zilikuja baadaye?!Namtakia nafuu....
Dah habari ya 2012, hongereni sana.
mbona kuna uzi wa leo? ww umeingia wa zamaniNimekuja mbio kumbe ya 2012
Acha UCHURO mkuuIla Mama Samia Suluhu anafaa sana kua Rais ajae....nawaza tu
Hapana leoleoKwahiyo miaka 7 iliyopita si ndiyo?
ha ha ha ha ha watu wameenda kufukua uziNimekuja mbio kumbe ya 2012
Mzee yuko poa humu watu wana speculate tu nimeongea na mtu wa ndani kule amesema mzee yuko fiti kabisa jiwe kweli kweliMmmhhhhh.......kila nafsi itaonja mauti
acha watu wanuombee sio kuwadanganya na huyo mtu wako hana alijualoMzee yuko poa humu watu wana speculate tu nimeongea na mtu wa ndani kule amesema mzee yuko fiti kabisa jiwe kweli kweli