Magufuli augua ghafla, alazwa

Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Duh...Kamati za roho mbaya zipo kazini!

Ila muhimu wasemaji wa serekali wakatolea maelezo uvumi huu....kuukanusha au kuithibithisha....kukaa kimya hakuna afya. Kama anaumwa, ni kawaida tu...tuambizane.Sote ni binadamu tu.

Kuhusu kifo pia, hakuna hata mmoja wetu anayeweza kujua anakufa lini. Ila lililo la uhakika (kuliko pengine mambo yote mengine) ni kuwa wote lazima tutakufa kila mtu kwa wakati wake.
 
Majungu tu hayo, kila mtu ana siku yake. Hata kama JPM anaumwa haiondoi ukweli kwamba hivi sasa JPM ameweza kubadili mindset ya Watanzania wengi.

Wapo Majembe tutatokea kidedea, na wale hasa Zitto Kabwe ambaye bandiko lake toka jana usiku aliliweka taharuki tutamshughulikia no matter what happens.
 
Majungu tu hayo, kila mtu ana siku yake. Hata kama JPM anaumwa haiondoi ukweli kwamba hivi sasa JPM ameweza kubadili mindset ya Watanzania wengi.

Wapo Majembe tutatokea kidedea, na wale hasa Zitto Kabwe ambaye bandiko lake toka jana usiku aliliweka taharuki tutamshughulikia no matter what happens.
Alishindwa mudhihir utamweza wewe?
 
Majungu tu hayo, kila mtu ana siku yake. Hata kama JPM anaumwa haiondoi ukweli kwamba hivi sasa JPM ameweza kubadili mindset ya Watanzania wengi. Wapo Majembe tutatokea kidedea, na wale hasa Zito Kabwe ambaye bandiko lake toka jana usiku aliliweka taharuki tutamshughulikia no matter what happens.
Mambo kama haya ndio maana wengine wanamuombea mabaya
Vitisho vya kuua watu as if nyinyi hamtakufa
 
”Hatuwezi kupeleka maiti iIkulu” na pushapu majukwaani mliziona. Tumewaletea chuma hiki. IKULU hakuna wodi ya wagonjwa.
Endeleeni kutuamini hatuwezi kuwapelekea maiti IKULU.”

PUMBAVU sana MaCCM, Mungu hadhihakiwi.
Mtavuna mlichopanda .. DADEKI
Hivi inakuaje mtu yeye muda wote anafuatilia other people’s businesses ?
When do you get time to work on yourselves and your dreams?

Most Tanzanians are mentally sick people.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom