Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,766
- 2,076
Na tunaomba asivumilie huu ujinga wa vyama vya wahuni
Tutaona muda si mrefu nani mhuni kama sio ccm.
Na tunaomba asivumilie huu ujinga wa vyama vya wahuni
Wewe kenge kweli Avator yangu kukuudhi ndio inaongelea magufuli useless NYAPARA?Avatar yako yenyewe inaonyesha wazi hujui unacho'kinena'. Eti si kiongozi,sasa kiongozi ni nani? Mbowe? Slaa? Au mushumbuzi? Ma.vi ya bata tupu
sasa nikusaidie nini km hujawahi hata kuwa na watu w3 ambao unadhani kati yao unaweza pata kiongozi.Km huyu umeletewa unapoambiwa shida unataka na mii nikupe ninayetaka,na wengine nao wakupe wao mwisho wa siku mkiwa km nyie mil 10 si nchi itapa kiongozi aliyepigiw akura na watuw alioambiwa wapige kwa nani?
kwavile huna uzalendo huwezi ionea yakohuruma uzao wa waabudu ufisadi mkubwa wewe.Pengine hujui maana ya msimamo.Misimamo yangu ipo ktk kiwango ambacho hujawahi hata weza imagine ktk huo ubongo wako wa dagaa.kwa mawazo yako hayo, naionea huruma familiya yako maana imepata baba asiye na uelekeo na msimamo..Nilikuwa na mengi ya kukujibu lakn kwavile umejibu uozo nakusamehe na kukupuuza