barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Pamoja ya kwamba hizi sio picha za kibondo, NIKUFAHAMISHE kuwa watu unaowaona wanaenda ktk mikutano ya Magufuli, 90% wanampigia kura, tofauti na wanaoenda kwa kufuata mkumbo, kwa yule rock star.Katika hali inayoonesha CCM wamechokwa na wananchi, leo mgombea urais wa CCM Pombe Magufuli amepata mahudhurio kiduchu ya watu licha ya magari kusombelea watu ili kujaza uwanja, wagombea ubunge na udiwani waendelea kukataliwa.