Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Katika hali inayoonesha CCM wamechokwa na wananchi, leo mgombea urais wa CCM Pombe Magufuli amepata mahudhurio kiduchu ya watu licha ya magari kusombelea watu ili kujaza uwanja, wagombea ubunge na udiwani waendelea kukataliwa.