Magufuli ashindwa kuujaza uwanja Kibondo

Magufuli ashindwa kuujaza uwanja Kibondo

Onyesha hayo mafuriko ili kuthibitisha aliyepost uchache wenu,c mkweli
 
HAPA KIBONDO
COzjVa0WcAAxYS-.jpg
 
yaani huyu safari hii kurudi bungeni inabidi afe mbunge mmoja wa ccm maana hatutaki kumwacha nyuma msanii wetu wa mwaka, watu wamechosha na sherehe za fiesta, wanataka mabadiliko ya kiuchumi sio kukatikiwa viuno wakati nao wanavyo.
 
napenda kutoa shukurani za dhati kwa wasanii hasa diamond na madereva wa mafuso na malori kwa ushirikiano wenu kwa chama chetu cha mapinduzi kwa maana bila ya nyinyi uwanjani wangekuwapo magufuli na wapambe wake na Dj pamoja na green guard tu

imetolewa na
mkuu wa kitengo cha IT masaki
 
Jamani huyu babu alishakufa.
Katika uhai wake hajawahi kutumia hata smartphone.
Alikuwa anaangalia TV na kuja kuwasimulia. Kwa hili niliambiwa marehemu babu yangu.
Enzi zake uelewa ulikuwa chini kuliko hivi sasa .
Huu ni ulimwengu mwingine. Kutulazimisha tufuate maneno yake ni sawa na mtu mzima arudi kunyonya maziwa kwenye kifua cha mama Yake.
Acha wafu wazike wafu wenzao.
Mabadiliko kwanza!
Uadilifu baadae!
 
yaani huyu safari hii kurudi bungeni inabidi afe mbunge mmoja wa ccm maana hatutaki kumwacha nyuma msanii wetu wa mwaka, watu wamechosha na sherehe za fiesta, wanataka mabadiliko ya kiuchumi sio kukatikiwa viuno wakati nao wanavyo.

Atakiwa mwenyekiti wa kwanza wa CCM kama chama cha upinzani nchini
 
Back
Top Bottom