Waziri wa ujenzi Dr John Pombe Magufuli amesema kuwa bomoa bomoa inayoendelea sasa kati ya barabara itakayo Mbeya kwenda Chunya yenye urefu wa Klm 76 ni katika kutekeleza sheria kwa wale wote waliojenga ktk hifadhi ya barabara!
Alisema kwamba wale wote waliojenga ktk eneo la akiba ya barabara wataendelea kuwa Masikini kwani serikali haitawalipa fidia na kwamba hawatajali kuwa ni nani anabomolewa nyumba hata km ni Viongozi kwani sheria haijui CDM,CCM wala CUF hata km ni mkuu wa mkoa sheria ni msumeno!!
Source ITV HABARI SAA 2 USIKU.
Je ni kweli kauli ya Magufuli ni sahihi au ni kwa vile tu nyingi ya nyumba zinazobomolewa ni za watu wadogo na wasiojua haki na sheria zinazowalinda?