Nadhani mkoa wa Arusha ndio mkoa wenye silaha nyingi na majority ya silaha wanazomiliki Watu Hawa wamepewa bila kufuata utaratibu .wamiliki wengi vibali hivi huonyesha silaha imetolewa kinondoni,au ilala ,au morogoro au mbeya, etc.but wamiliki hao wa silaha hata DAR hawajawahi kufika.kuna madalali wa silaha wengi sana Arusha wana connection na vigogo wa polisi makao makuu .
unachotakiwa kuwanayo ni picha 4 na milioni 5 pekee after two weeks pistol unaletewa nyumbani.Utakuta Vijana wengi wa machimbo ya mererani kitu cha kwanza wakipata pesa ni kanunua gari na kumiliki pistol .kibaya zaidi wakiiishiwa pesa wanaanza Kukodisha hizo silaha kwa wahalifu!