B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Taarifa za uhakika kabisa kutoka kwa viongozi wa ngazi za juu wa CCM zinatanabaisha kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliunda kamati ya siri ya kutafuta maoni ya wananchi juu ya nani anayetajwa-tajwa na kukubalika kwa wananchi, Taarifa zinasema ingawa kamati hiyo bado haijamaliza kazi yake lakini jina la JONH POMBE MAGUFULI limeonekana likikubalika sana miongoni mwa wananchi, Jina la Lowassa linafuatia kwa mbali huku jina la Samweli Sita likiwa nyuma ya Lowasa lakini kwa mbali sana.
source: mimi mwenyewe nilikuwepo.
source: mimi mwenyewe nilikuwepo.