Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

rr4

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,947
Reaction score
5,859
Watanzania ni watu wasahaulifu na walalamikaji sana..Muda mrefu walikuwa wanataka kumpata mtu anayethubutu ashike hatamu..Sasa amepatikana kazi ni kumlaumu tu.

Mimi ninavyoona ni kuwa Mungu amejibu maombi yetu na kutupatia sio tu Rais Bali mtawala...watu wenye maamuzi magumu Kama MAGUFULI ni nadra duniani na akitokea anatakiwa ashikwe vizuri ili alete maendeleo..

We finally have a person ambaye anaweza kuua nyani huku akimwangalia usoni..huyu anatufaa. Hata uchaguzi Mimi nashauri tuachane nao...ni kupoteza hela tu.

Demokrasia kwenye nchi zetu hizi masikini haifanyi kazi na hata wazungu walileta demokrasia kwao baada ya kupata maendeleo.

Hata kwa Sasa kwa sababu tuna kiongozi mzalendo nashauri hata Bunge lifutwe tubaki na madiwani tu ili kubana matumizi vizuri.

Viongozi was upinzani wapewe nafasi serikalini ili waache kulalamika na wao watumikie wananchi.
 
demographic izidi, watu wazidi kuuwawa bila serikali kuja na matamko, wazidi kaa kimya
 
......................................................................
...
.................................................
................
..
............................
........................................................................
.....................
..
......

......

....
 
Mimi ninavyoona ni kuwa Mungu amejibu maombi yetu na kutupatia sio tu Rais Bali mtawala...
Kwahiyo wewe unapingana na waganga wa jadi wa ghamboshi na wale waliomzindika juzi juzi?

Pia umesahau kuweka namba ya simu, kuna nafasi ya ded iko wazi kule morogoro
 
Watanzania ni watu wasahaulifu na walalamikaji sana..Muda mrefu walikuwa wanataka kumpata mtu anayethubutu ashike hatamu..Sasa amepatikana kazi ni kumlaumu tu.

Mimi ninavyoona ni kuwa Mungu amejibu maombi yetu na kutupatia sio tu Rais Bali mtawala...watu wenye maamuzi magumu Kama MAGUFULI ni nadra duniani na akitokea anatakiwa ashikwe vizuri ili alete maendeleo..

We finally have a person ambaye anaweza kuua nyani huku akimwangalia usoni..huyu anatufaa. Hata uchaguzi Mimi nashauri tuachane nao...ni kupoteza hela tu.

Demokrasia kwenye nchi zetu hizi masikini haifanyi kazi na hata wazungu walileta demokrasia kwao baada ya kupata maendeleo.

Hata kwa Sasa kwa sababu tuna kiongozi mzalendo nashauri hata Bunge lifutwe tubaki na madiwani tu ili kubana matumizi vizuri.

Viongozi was upinzani wapewe nafasi serikalini ili waache kulalamika na wao watumikie wananchi.
Kwa nini huu upuuzi usingejadiliana na mmeo mkiwa kitandani???
 
Itafaa angalau miaka hata 15 ili akamilishe mission ya kuipaisha Tanzania kisawasawa
 
Tatizo hamueleweki,uzi wako unakiri mambo makubwa mawili:
1.Ni wazi umekiri kuwa demokrasia imeminywa na awamu hii!Kwamba unakubali tuendelee naye kwasababu anafanya hayo unayoyaona,uhuru wa watu si kitu mbele ya maendeleo!!!
2.Unakiri kuwa watanzania walihitaji mtu kama huyo ila hawamtaki,umekiri mwenyewe hawamtaki ndio maana unasema watanzania hawaeleweki wanataka nini!!!Waajiri wa serikali ni watz hao hao,kama hawamtaki na iwe hivyo!!!

Halafu kwenye nyuzi nyingine utakuta wewe huyo huyo unasema,
1.Demokrasia ipo ya kutosha nchini!
2.Watanzania wanamkubali sana JPM

Mbona hamueleweki kiasi hiki nyie wanywa maji ya kijani ya lumumba,which is which???
 
Watanzania ni watu wasahaulifu na walalamikaji sana..Muda mrefu walikuwa wanataka kumpata mtu anayethubutu ashike hatamu..Sasa amepatikana kazi ni kumlaumu tu.

Mimi ninavyoona ni kuwa Mungu amejibu maombi yetu na kutupatia sio tu Rais Bali mtawala...watu wenye maamuzi magumu Kama MAGUFULI ni nadra duniani na akitokea anatakiwa ashikwe vizuri ili alete maendeleo..

We finally have a person ambaye anaweza kuua nyani huku akimwangalia usoni..huyu anatufaa. Hata uchaguzi Mimi nashauri tuachane nao...ni kupoteza hela tu.

Demokrasia kwenye nchi zetu hizi masikini haifanyi kazi na hata wazungu walileta demokrasia kwao baada ya kupata maendeleo.

Hata kwa Sasa kwa sababu tuna kiongozi mzalendo nashauri hata Bunge lifutwe tubaki na madiwani tu ili kubana matumizi vizuri.

Viongozi was upinzani wapewe nafasi serikalini ili waache kulalamika na wao watumikie wananchi.
sipendi kutukana mtu kabisa leo!!
 
mpeleke kwa baba yako atawale milele huko si watanzania!
 
Hiyo sentesi ya mwisho ndo ya mhimu. Mwisho wa siku lengo la upinzani ni kuwatumikia Wananchi wa Tz.
 
Kama unampenda sana,piga naye picha uiweke facebook
Nalog off
 
Watanzania ni watu wasahaulifu na walalamikaji sana..Muda mrefu walikuwa wanataka kumpata mtu anayethubutu ashike hatamu..Sasa amepatikana kazi ni kumlaumu tu.

Mimi ninavyoona ni kuwa Mungu amejibu maombi yetu na kutupatia sio tu Rais Bali mtawala...watu wenye maamuzi magumu Kama MAGUFULI ni nadra duniani na akitokea anatakiwa ashikwe vizuri ili alete maendeleo..

We finally have a person ambaye anaweza kuua nyani huku akimwangalia usoni..huyu anatufaa. Hata uchaguzi Mimi nashauri tuachane nao...ni kupoteza hela tu.

Demokrasia kwenye nchi zetu hizi masikini haifanyi kazi na hata wazungu walileta demokrasia kwao baada ya kupata maendeleo.

Hata kwa Sasa kwa sababu tuna kiongozi mzalendo nashauri hata Bunge lifutwe tubaki na madiwani tu ili kubana matumizi vizuri.

Viongozi was upinzani wapewe nafasi serikalini ili waache kulalamika na wao watumikie wananchi.
Yes hadi kifo kimtenganishe na Ikulu Amen
 
Back
Top Bottom