Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,041
Chem
Chema chajiuza kibaya chajitembeza ,Shetani kumgeuza malaika ni kazi ngumu sana ,Utahangaika sana kumpigia debe vitendo vyake vinajipambanua jinsi alivyo ,watanzania wote wana macho na masikio anachokisema na kufanya watu wanaona so unahangaika bure .Watanzania ni watu wasahaulifu na walalamikaji sana..Muda mrefu walikuwa wanataka kumpata mtu anayethubutu ashike hatamu..Sasa amepatikana kazi ni kumlaumu tu.
Mimi ninavyoona ni kuwa Mungu amejibu maombi yetu na kutupatia sio tu Rais Bali mtawala...watu wenye maamuzi magumu Kama MAGUFULI ni nadra duniani na akitokea anatakiwa ashikwe vizuri ili alete maendeleo..
We finally have a person ambaye anaweza kuua nyani huku akimwangalia usoni..huyu anatufaa. Hata uchaguzi Mimi nashauri tuachane nao...ni kupoteza hela tu.
Demokrasia kwenye nchi zetu hizi masikini haifanyi kazi na hata wazungu walileta demokrasia kwao baada ya kupata maendeleo.
Hata kwa Sasa kwa sababu tuna kiongozi mzalendo nashauri hata Bunge lifutwe tubaki na madiwani tu ili kubana matumizi vizuri.
Viongozi was upinzani wapewe nafasi serikalini ili waache kulalamika na wao watumikie wananchi.