Magufuli anashindwa nini ku fix haya TRA?

Magufuli anashindwa nini ku fix haya TRA?

Hata sasa unaweza kulipia kwa instalments......halafu kitu ambacho wengi hawasemi ni kuwa zile hela unazotumia kununua EFD unarudishiwa kwenye returns zako.

Sijui kama uliuona ule uzi wa TRA kuhangaikia pesa za kununulia EFD baada ya amri kuwa zitolewe bure

halafu leo sijui umemuona kaimu kamishna akiongea?
kuna kitu hakiko sawa....
 
Elimu kwa mlipa kodi ilitakiwa kabla hawajaleta haya madude
 
Sijui kama uliuona ule uzi wa TRA kuhangaikia pesa za kununulia EFD baada ya amri kuwa zitolewe bure

halafu leo sijui umemuona kaimu kamishna akiongea?
kuna kitu hakiko sawa....
Ni hivi EFD kwa utaratibu wa mwanzo unainunua then mwisho kwenye hesabu zako unarudishiwa ile hela ulionunulia. Na supplier wanauza kwa instalments vile vile,mimi nimenunua kwa instalments mbili.

Alivyoingia Magu ndio kasema zitolewe bure yaani hamna kulipia then urudishiwe na matokeo ndio haya unayasema.
 
Wanarudisha cash kweli hawa jamaa? Au Ile claim yako wanacarry forward unapunguza kodi yako?
Af hii ya saiv ya kununua wamewagawa vipi wenye hali ya chini na wafanyabiashara wakubwa?
 
Wanarudisha cash kweli hawa jamaa? Au Ile claim yako wanacarry forward unapunguza kodi yako?
Af hii ya saiv ya kununua wamewagawa vipi wenye hali ya chini na wafanyabiashara wakubwa?
Hawarudishi cash inakatwa kwenye kodi juu kwa juu.
 
Niseme tu pamoja na mapungufu mbalimbali ya awamu ya tano
lakini lile la Magufuli 'kurekebisha haraka' uteuzi wa Maswi TRA lilinifurahisha sana

Angalau 'uthubutu' wa kurekebisha kwa haraka bila kuogopa 'wakosoaji'
tutasema nini....ulionekana....na kusaidia 'maslahi ya Taifa'

Sasa kuna haya mawili huko TRA nashindwa kuelewa why Magufuli
na serikali yake kwa ujumla hawayaoni kuwa yanahitaji
'marekebisho ya haraka saana'.....bila kuchelewa

La kwanza ni kosa la kutangazia wafanyabiashara mashine za EFD zitatolewa bure
huku bajeti yake kumbe ni kubwa saana na haikuwa tayari....

Leo Kaimu Kmishna wa TRA ni kama alikuwa 'anajikanyaga' kuhusu hiyo issue
na mwishowe anakuja kusema hizo mashine zitatolewa bure kwa wafanyabiashara
wa chini tu....ina maana sio bure tena kama ilivyo tangazwa

Ni vizuri Rais akaisaidia TRA kwa 'kubadili maamuzi'
mashine zile ziuzwe tu lakini itazamwe bei.....ikiwezekana
hizo mashine kuwe na supplier zaidi ya mmoja
waziuze direct tu kwa wafanyabiashara
au serikali iruhusu kampuni nyingi sana zishindane kuwauzia
wafanyabiashara........hii itasaidia TRA na serikali kiujumla

La pili ni kuendelea kuwa na 'kaimu kamishna' hapo TRA...
kwa nafasi yake hapo TRA kukaimu tu sio sawa
atashindwa kufanya maamuzi yoote yanayotakiwa kufanya
atashindwa kusema ukweli iwapo wanasiasa wataleta maamuzi ya kisiasa
ili tu 'asije kosa hiyo nafasi'

Ili Kamishna aweze kufanya maamuzi yanayotakiwa ikiwemo na kusema
ukweli kwa uhuru kipi sahihi na kipi sio sahihi ni vizuri ateuliwe haraka...

haya maamuzi yafanyike haraka....kuchelewa ni kuifanya TRA ilegelege....
Lazima ukaimu kwa miezi mitatu uangaliwe kwanza usije kuwa kama madeni kipande hata mwezi bado unampiga mtu ngumi
 
My take EFD machines zingeuzwa,utaratibu ungepangwa wafanyabiashara wazilipie by installments
Safi kabisa ni vizuri sana kuona mapungufu na ku-suggest practical solutions kuna watu wanolialia lia kila siku humu mitandaoni lawama kila wakiamka asubuhi wala hawatoi suluhisho/ Agrrrrr
 
Back
Top Bottom