Magufuli anapendwa sana!

Acheni hofu kila mtu avune alichopanda

Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna

Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Membe ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wenu fake, kwanini basi asiruhusiwe kuchukua fomu akajipime na Rais ili KUNOGESHA mchakato?
 
Umesshau lissu alikuwa anawatetea Wazungu watuibie madini kwa kuwa alikuwa analipwa na Wazungu
Kwani mkuu hao wazungu walipataje hiyo migodi ,walivamia au walipewa na serikali ya chama pendwa?
Ni serikali ya chama gani waliongia nayo mkataba kwa mara kwanza hadi nchi kuambulia patupu?
Tuache kujitoa ufahamu.
 
Awezi kukjibu...amini nakwambia...ataleta porojo...
 
Ndio hivyo Magufuli alikuwa anasaini mikataba upya kurekebisha mapungufu majizi kina kina lissu wakawa wanatetea Wazungu
Kwani mkuu hao wazungu walipataje hiyo migodi ,walivamia au walipewa na serikali ya chama pendwa?
Ni serikali ya chama gani waliongia nayo mkataba kwa mara kwanza hadi nchi kuambulia patupu?
Tuache kujitoa ufahamu.
 
Ndio hivyo Magufuli alikuwa anasaini mikataba upya kurekebisha mapungufu majizi kina kina lissu wakawa wanatetea Wazungu
Lakini CCM haiwezi kukwepa upuuzi na hujuma ya kuuza madini yetu kwa maslahi binafsi.Tena karibu migodi yote.Je kwa miaka zaidi ya 20 tuliopata hasara ya kujitakia ni Raisi gani au waziri mkuu gani wamefunguliwa mashtaka ya kuhujumu uchumi?Je nani atalipa hasara hiyo?
Kumbuka tuliibiwa mchana kweupe,tukiwa nchi huru,chini ya maraisi wa serikali ya CCM.
 
Acheni hofu kila mtu avune alichopanda

Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna

Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Jibu Hoja punguani wewe, anapendwa mbona anaishi Kama nyoka?
 
mm nawaza mkuu akifariki ghafla chama kimetawanyika vipande vipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…