Magufuli anapendwa sana!

Acheni hofu kila mtu avune alichopanda

Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna

Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Ile mikataba ya madini kule bungeni ilikua ikipitishwa na chadema kua na akili mda mwengine
 
Kuna ufala nilitaka kuandika ila nimehairisha mpaka uchaguzi upite
 
Count me in kwenye harakati zozote za kuitoa ccm madarakani kwa nguvu
 
Upo tayafi liwalo na liwe huku unatumia JINA BANDIA JF Unaleta hadithi ya Mange Kimambi cha kuhimiza kuandamana huku yeye yupo USA

Basi roho inakuuma mtoa mada anavyotumia jina la bandia!!! Unatamani kama angekua anatumia jina kamili vile ili muanze kumvizia na kumteka, halafu baadae mumuue au kumbambikia kesi ya madawa ya kulevya au uhujumu uchumi!
 
Miaka5 ya Magufuli Hakuna nyongeza ya mshahara. Hakuna ajira mpya na hana maarifa ya kuwa kwamua waliomaza vyuo kupata kazi. Ampishe tu Membe.
 
Acheni hofu kila mtu avune alichopanda

Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna

Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Mtu anakimbia na mpira kwapani eti nae anajiita mchezaji,mchezaji gani anaogopa kukabwa?
Ushetani wenu hauwezi kudumu lazima ufe
 
Sometimes you amuse me. Full of shit.
 
Acheni hofu kila mtu avune alichopanda

Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna

Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Mmhhh kichekesho kweli hivi anaependwa angeogopa tume huru,anaependwa angezuia wenzake wasifanye mikutano kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…