technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,648
- 58,455
Tuchati kakaInategemea ameamkaje!!!
😆😆😆Inategemea ameamkaje!!!
Uchaguzi Mkuu akileta figisu zake za serikali za mtaa tutagawana majengo a serikali.Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.
Kama tu ndani ya chama haukubaliki unauweza mziki wa nje ya chama hofu ya nini mzee umefanya siasa mwenyewe miaka 5 hofu ya nini?
halafu mtu umejenga madaraja hofu ya nini mzee baba mi naamini kama kweli kwa dhati umefanya makubwa ungeruhusu uchaguzi huru kuanzia kwenye chama chako mpaka kumuhakikishia ulinzi Tundu Lissu ili alejee umubwage.
Mwaka huu ujipange sana wape salamu wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo, wakurugenzi na wote wanaotaka kuvuruga uchaguzi tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
Duh...!.tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
Sasa Comrade kwanini mnaogopa kuvuna chini ya tume huru?Acheni hofu kila mtu avune alichopanda
Magufuli alipanda maendeleo kwa Watanzania ni muda wa kuvuna
Chadema ilipanda kuwatetea Wazungu watuibie raslimali zetu ni muda wa kuvuna mlichopanda
Mbona unasema apambane na Lissu, inamaana mmeshabwaga mwenyekiti?? Au kachukua fomu kuzuga tu ila mgombea yupo tayari?Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.
Kama tu ndani ya chama haukubaliki unauweza mziki wa nje ya chama hofu ya nini mzee umefanya siasa mwenyewe miaka 5 hofu ya nini?
halafu mtu umejenga madaraja hofu ya nini mzee baba mi naamini kama kweli kwa dhati umefanya makubwa ungeruhusu uchaguzi huru kuanzia kwenye chama chako mpaka kumuhakikishia ulinzi Tundu Lissu ili alejee umubwage.
Mwaka huu ujipange sana wape salamu wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo, wakurugenzi na wote wanaotaka kuvuruga uchaguzi tutaenda jino kwa jino mpaka kieleweke na ndio mwaka ambao unaleta somo kwamba udicteta hauwezi kufanya kazi nchini mwetu wengine tupo tayari kwenda jera kwa miaka 5 ila kuacha soma la umuhimu wa haki na uchaguzi ulio wazi.
Alafu TPDF wakajazwa mtaani kuzuia maandamano!.Upo tayafi liwalo na liwe huku unatumia JINA BANDIA JF Unaleta hadithi ya Mange Kimambi cha kuhimiza kuandamana huku yeye yupo USA
Inategemea ameamkaje!!!
Alafu TPDF wakajazwa mtaani kuzuia maandamano!.
Sasa Comrade kwanini mnaogopa kuvuna chini ya tume huru?
Mapombe mtu wa hovyo akubariki jitu lishetani.
Inategemea dikteta ataamkaje leo.Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais.