Magufuli anaiga kwenye ilani ya CHADEMA

Magufuli anaiga kwenye ilani ya CHADEMA

tity

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
44
Reaction score
15
Nimesoma ilani ya CHADEMA na kuona mambo yote anayojaribu kuyafanya Magufuli mpaka sasa yapo kwenye ilani ya CHADEMA ya 2015-2020 na wala sijayaona kwenye ilani yake CCM.

1447481262679.jpg
 
Hizo ilani Ni ahadi za utajengaje nchi, baada ya uchaguzi kilichokizuri ndicho kizuri kufanywa, ndiyo maana mama Anna alimkabidhi, Rais Magufuli ilani ya ACT achukue anayoona yanafaa ayafanyie kazi.
 
Kumbe mnapenda mawazo yenu mnayowashaur serikali yapuuzwe!!kisa yenu tu!! Tuweke taifa mbele kwanza,vyama baadaye
 
Nimesoma ilani ya CHADEMA na kuona mambo yote anayojaribu kuyafanya mgufuli mpaka sasa yapo kwenye ilani ya CHADEMA ya 2015-2020 na wala sijayaona kwenye ilani yake CCM.

View attachment 305632

Magufuli kutumia ilani ya chadema kwa manufaa ya nchi shida ipo wapi?

Nyie ndio maana mnaitwa malofa na wapumbav.
 
Nampongeza magufuli kwamba anafanya jambo lililo jema hata kama ni la upinzani, yes tunataka kiongozi kama huyo asiye na makundi kikubwa ni kujenga taifa kwa ushirikiano
 
Tunampongeza sana Magufuli kutumia Ilani ya Ukawa kwa faida ya Nchi kumbe yule aliyesema wapinzani ni malofa in lofa yeye mbona Rais anatumia ilani yao?
 
Ni jambo jema sana. Kampeni zimeisha na sasa ni kazi. Hakuna ccm wala cdm wote tunataka maendeleo. Achukue hata ya ACT hata KANU hata MDC; tunachotaka ni kazi tu.
 
Nampongeza magufuli kwamba anafanya jambo lililo jema hata kama ni la upinzani, yes tunataka kiongozi kama huyo asiye na makundi kikubwa ni kujenga taifa kwa ushirikiano

Magufuli atakwamishwa na CCM wala sio na UKAWA. As you see, UKAWA wameshampa agenda ya kuisimamia na anafanya vyema, sasa subiri uone kwa nini gamba ni gumu zaidi ya majani.
 
Ni vizuri km amefanya hvyo maana tunahitaji mabadiliko..
 
rungu naona roho inakuuma sana baada ya chama chako kukosa watu wenye akili na upeo wa kutosha...poole
 
His excellence Magufuli atazidi kuwanyamazisha kwa vitendo
 
Back
Top Bottom