Magufuli anacheza, akifungwa anashangilia(JAAA)

Magufuli anacheza, akifungwa anashangilia(JAAA)

For the first time most presenters agree on one thing! That the great guy needs to change! Let us keep this up for the sake of our country.
Let us ignore the few whose minds are fixed on divisions. Oh this is chadema, this is ccm, this ua Mbowe, this is JPM! Where is Tanzania? Our dear country? Nyerere's country?
Are we happy today to be surrounded by police, Jwtz everywhere as if we are at war with ourselves?
Why are the opposition people in jail instead of the real thieves who ought to be in jail?
Kwa nini tumekubali udanganyifu huu?
Wasomi na wasio wasomi wote tunekuwa sawa kabisa?
Heshima ya Tanzania duniani imekwisha kabisa tunasifiwa tu waongo wanaotaka kupata upendeleo katika uwekezaji. Hii inainekana wazi!
Tunaelekea wapi?
 
Uki bahatika kuwa kiongozi kwenye kaya usidhani kuwa una akili kuliko wana kaya unao waongoza, wapo wenye akili kuliko hizo za kwako.
Sijui huu ugonjwa wa kiongozi kudhani ana akili kuliko watu wengine umetoka wapi! Uongozi unataka unyenyekevu wa hali ya juu na kusikiliza unaowaongoza zaidi kuliko wewe kila leo kuongea saaaana. Tulia sikiliza watu wansema nini kasha fanyia kazi. Penda kujifunza mabo mbalimbali sehemu mbalimbali za dunia.
 
Lakini asidanganye kuwa anatumia fedha za ndani! Hivi sasa anahaha huku na kule kutafuta mikopo ambayo nina wasiwasi kama atapata!!!
very true . . . . .hii ni miradi mikubwa sana na kwa uwezo wetu kama nchi hatujafikia uwezo wa kutumia fedha za ndani pekee kuitekeleza yote kwa pamoja kama ilivyo sasa . .tunajidanganya tu, kwa lugha rahisi tunajitekenya halafu tunacheka wenyewe
 
Back
Top Bottom