technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,703
- 58,780
😂😂Lissu amemvuruga sana Mzee Pombe hadi ameanza kuwakaripia wapiga kura 🤣🤣🤣
Jiwe hana maadili hatufai.Wanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?
Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba
"Unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.
Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.
Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"
Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?
Halafu watu wale wale wamchague?
Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?
umepotea buku saba imeshuka nini maana tumewapoteza wengi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]Hana tatizo na wanawake..
Wewe ndio unatatizo.. kwa kukosa ya kuandika.. na kutaka kupitisha chuki..
We si mwanamke aisee??!!! 😲. Acha ku support vitu vya kijinga. Mtu akikudhalilisha hata km ni baba yako unatakiwa useme.Hana tatizo na wanawake..
Wewe ndio unatatizo.. kwa kukosa ya kuandika.. na kutaka kupitisha chuki..
Wanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?
Maana Kama mnakumbuka aliwahi kumwambia mwanamke kwamba
"Unataka kupanuliwa wapi?" Kwamba mbona barabara ipo?.
Leo tena akiwa Nyamikoma mkoa wa Simiyu jimbo la Busega Kuna mwanamke amejitokeza kutaka kutoa kero yake ila ameishia kudhihakiwa.
Nanukuu ," Mama usinihalibie mkutano hayo unayotaka kuyaongea hapa kamwambie mmeo si unaye"
Rais wa nchi anaweza kuongea mbele ya watu lugha za kuudhi Kama hivi kweli?
Halafu watu wale wale wamchague?
Wanawake wa Tanzania hivi mmemkosea nini rais wenu Magufuli.?
Wewe unheambiwa hivyo ungeona ni sawa?Hana tatizo na wanawake..
Wewe ndio unatatizo.. kwa kukosa ya kuandika.. na kutaka kupitisha chuki..
Nini kilikusibu? umepotea sana jukwaaniHana tatizo na wanawake..
Wewe ndio unatatizo.. kwa kukosa ya kuandika.. na kutaka kupitisha chuki..
Labda hawafai nyumbani kwenu!Jiwe hana maadili hatufai.
Ndio anafaa chattle zaidi sio kwingine.Labda hawafai nyumbani kwenu!
Tbc nilitarajia wazime sauti au wakatishe matangazo kutokana kauli zisizofaa.Wanawake wa nchi hii wamemkosea Nini Rais wao mpendwa?