Mada iko poa, tatizo lugha tu ukifanyia editing au ukutana na mzee kifimbo chezaaa
Akiri= Akili
Apa= Hapa
Apo= Hapo
Adi= Hadi
Aya= Haya
Zaidi ya laki5Unapo sema vyeti feki vitaondoa watu 100,000 unajua serikali ina wafanyakazi wangapi jumla?
Akiri ni nywereNa kwa miaka hiyo mitatu watastaafu wangapi? Watakufa wangapi? Watapata ugonjwa au vilema vya kushindwa kulinda ajira zao wangapi? na.............wangapi? na.......... wangapi? na..........wangapi? Dunia haisimami, inasonga mbele.
Mapori yote yashawekezwa.. labda mlime lamiKilimo kwanza kitawahusu
Na kwa miaka hiyo mitatu watastaafu wangapi? Watakufa wangapi? Watapata ugonjwa au vilema vya kushindwa kulinda ajira zao wangapi? na.............wangapi? na.......... wangapi? na..........wangapi? Dunia haisimami, inasonga mbele.
asilimia zaidi 70% ardhi ya Tanzania haijaguswaMapori yote yashawekezwa.. labda mlime lami
where,,eti walime lamiMapori yote yashawekezwa.. labda mlime lami
Gusa uone utakavyokimbizwaasilimia zaidi 70% ardhi ya Tanzania haijaguswa
Akiri ni zaidi ya akiliAkiri = Akili
where,,eti walime lami
Ndugu siamini kama hizo ajira zitapatikana kwa idadi hiyo uliyoiweka kwa sababu kuna nusu ya vyeo inaaminika vinafutwa eti havina tija kwani kazi ya kufanywa na mtu mmoja zinafanywa na watu zaid ya mmoja mfano kama kuna afisa elimu wawili sekondari na msingi basi atatakiwa kuwepo mmoja. Inamaana kama kitendo cha kufuta na kubadili miundo ya serikali kutatengeneza ukosefu wa ajira pia kama ulivyojionea wizara zilivyounganishwa badala ya kuwa na kuwa wizara mbili au tatu aliziunganisha na kuwa moja hivyo hapo tu makatibu na wengineo walifutwa. umefanya vizuri kijifariji kwa hoja hiyo uliyosema lakini kuna possibility ndogo sana ya wewe kuwepo ndani ya ajira mpya, chamsingi lifanye wazo lako kama la ziada tu na jielekeze kwenye mambo mengine ili uwe kama wakina mengi na bakhresa.amechafuta wafanyakazi hewa takribani=12,000.(zoezi LA uhakiki linaendelea idadi inaweza kufika 20,000)
Kwenye zoezi LA vyeti feki piga ,ua ataondoka na vichwa vya watumishi si chini ya=100,000
Sasa twende kwenye hesabu.
20,000+100,000=120,000.
Apo tayari ametengeneza ajira mpya 120,000.
Baada ya muda matangazo kwenye magazeti.
1.serikali yatangaza nafasi 50,000 mpya za ajira. 2016/2017.
2. 2017/2018/= nafasi mpya 40,000
3.2018/2019,,,nafasi mpya 30,000.
50,000+40,000+30,000=120,000.
Wanaondoka watumishi takribani120,000 feki,,ajira mpya 120,000 zinatengenezwa kwa ndani ya miaka3 ijayo...adi apo equation itakuwa imbalance,,duh ama kweli jpm uliitendea haki chemistry akiwa shule.
Aya kazi kwenu wazee wa vyeti feki...
Wakaishi kama shetaniHao 120,000 watakaofukuzwa wataenda mbinguni?
Watu wenye roho ya korosho uwaombea wenzao mabayaamechafuta wafanyakazi hewa takribani=12,000.(zoezi LA uhakiki linaendelea idadi inaweza kufika 20,000)
Kwenye zoezi LA vyeti feki piga ,ua ataondoka na vichwa vya watumishi si chini ya=100,000
Sasa twende kwenye hesabu.
20,000+100,000=120,000.
Apo tayari ametengeneza ajira mpya 120,000.
Baada ya muda matangazo kwenye magazeti.
1.serikali yatangaza nafasi 50,000 mpya za ajira. 2016/2017.
2. 2017/2018/= nafasi mpya 40,000
3.2018/2019,,,nafasi mpya 30,000.
50,000+40,000+30,000=120,000.
Wanaondoka watumishi takribani120,000 feki,,ajira mpya 120,000 zinatengenezwa kwa ndani ya miaka3 ijayo...adi apo equation itakuwa imbalance,,duh ama kweli jpm uliitendea haki chemistry akiwa shule.
Aya kazi kwenu wazee wa vyeti feki...
Hv unajua maana ya watumishi hewa? Au umekurupuka tu.