Magufuli ana akili kuhusu Ajira, cheki hapa

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,535
amechafuta wafanyakazi hewa takribani=12,000.(zoezi LA uhakiki linaendelea idadi inaweza kufika 20,000)
Kwenye zoezi LA vyeti feki piga ,ua ataondoka na vichwa vya watumishi si chini ya=100,000
Sasa twende kwenye hesabu.
20,000+100,000=120,000.
Apo tayari ametengeneza ajira mpya 120,000.
Baada ya muda matangazo kwenye magazeti.
1.serikali yatangaza nafasi 50,000 mpya za ajira. 2016/2017.

2. 2017/2018/= nafasi mpya 40,000
3.2018/2019,,,nafasi mpya 30,000.
50,000+40,000+30,000=120,000.
Wanaondoka watumishi takribani120,000 feki,,ajira mpya 120,000 zinatengenezwa kwa ndani ya miaka3 ijayo...adi apo equation itakuwa imbalance,,duh ama kweli jpm uliitendea haki chemistry akiwa shule.
Aya kazi kwenu wazee wa vyeti feki...
 
Na kwa miaka hiyo mitatu watastaafu wangapi? Watakufa wangapi? Watapata ugonjwa au vilema vya kushindwa kulinda ajira zao wangapi? na.............wangapi? na.......... wangapi? na..........wangapi? Dunia haisimami, inasonga mbele.
 
Hiyo ni nature hupaswi kujadili nature, lasivyo tusinge weka akiba kwa kua hatujui lini tutakufa, tusinge somesha WATOTO kwa kua tunahitaji kutumia na kustarehe tukingoja SIKU YETU. Life must go on
 
amechafuta wafanyakazi hewa takribani=12,000.(zoezi LA uhakiki linaendelea)
Kwenye zoezi LA vyeti feki piga ,ua ataondoka na vichwa vya watumishi si chini ya=100,000
Sasa twende kwenye hesabu.
12000+100,000=120,000.
Apo tayari ametengeneza ajira mpya 120,000.
Baada ya muda matangazo kwenye magazeti.
1.serikali yatangaza nafasi 50,000 mpya za ajira. 2016/2017.

2. 2017/2018/= nafasi mpya 40,000
3.2018/2019,,,nafasi mpya 30,000.
50,000+40,000+30,000=120,000.
Wanaondoka watumishi takribani120,000 feki,,ajira mpya 120,000 zinatengenezwa kwa ndani ya miaka3 ijayo...adi apo equation itakuwa imbalance,,duh ama kweli jpm uliitendea haki chemistry ukiwa shule.
Aya kazi kwenu wazee wa vyeti feki...

ISIPO KUA HESABU YAKO NAONA KAMA HAIPO SAWA 12000+100000=120000??? NADHANI NI NI 112000
 
Moes ndio unarudi kilabuni nini Saa hizi, 'umechafuta' cha kuandika weeeeeee ukaona uibuke na hii. Haya bwana
 
ISIPO KUA HESABU YAKO NAONA KAMA HAIPO SAWA 12000+100000=120000??? NADHANI NI NI 112000
Ni kweli lakini nimesema zoezi LA uhakiki linaendelea hivyo elfu 12 inaweza kuongezeka adi 20,000(makadirio)
 
amechafuta wafanyakazi hewa takribani=12,000.(zoezi LA uhakiki linaendelea idadi inaweza kufika 20,000)
Kwenye zoezi LA vyeti feki piga ,ua ataondoka na vichwa vya watumishi si chini ya=100,000
Sasa twende kwenye hesabu.
20,000+100,000=120,000.
Apo tayari ametengeneza ajira mpya 120,000.
Baada ya muda matangazo kwenye magazeti.
1.serikali yatangaza nafasi 50,000 mpya za ajira. 2016/2017.

2. 2017/2018/= nafasi mpya 40,000
3.2018/2019,,,nafasi mpya 30,000.
50,000+40,000+30,000=120,000.
Wanaondoka watumishi takribani120,000 feki,,ajira mpya 120,000 zinatengenezwa kwa ndani ya miaka3 ijayo...adi apo equation itakuwa imbalance,,duh ama kweli jpm uliitendea haki chemistry ukiwa shule.
Aya kazi kwenu wazee wa vyeti feki...
Akili zipi? Katika hesabu zako umeinclude 20,000 hewa! Unajua maana ya mfanyakazi hewa? Kwamba hayupo physically but anaonekana kwnye payroll ya serekli! Hiyo ndio hewa. Kuwaondoa hao hewa hakucreate ajira bali kunaipunguzia mtumizi ya serekali! Kwa hiyo comment yko ni ya kijinga tu
 
Back
Top Bottom