Hofu inazidi kumtanda Makufuri, kwan Edo akiingia madarakani lazima aeleze umma ufisadi alioufanya kwenye Ujenzi wa barabara kwa kuiba mita moja, si hilo tu hofu aliyonayo ni kurudishwa nyumba za serikali anahofu ya wale ndugu zake na demu wake kupokonywa nyumba walizojimilikishia kiujanja janja!
Msijipongeze kuna mengi tua ambayo Makufuri anawaza Na hapati jibu, ununuzi wa meli feki, hasara ya kukamata meli ya samaki kwa jeuri bila kufuata taratibu, yaani nyie acgeni Makufuri anashida kuliko mnavyosema! Time will tell subiri mtaona.