Magufuli ampiku Lowasa urais 2015

Magufuli ampiku Lowasa urais 2015

Nikweli mkuu lakini tuachane na ushabiki kwanza na badala yake tumtafakari vizuri huyu mtu HEBU SOMA KWANZA COMMENT YA UKUU@wikileksi halafu tumtafakari huyu mzee kwa kina!
Unashangaa msafara rasmi wa magufuri kuwa na magari 26 tu?! aise we hujui kinachoendelea... uliona msafara wa lowassa dar? Hayo kwanza tuachane nayo magari yalikuwa hayana idadi. Na jana pia alipokuwa anaenda msibani arusha alikuwa na magari 40 na pimipiki 400. Achana na lowassa wewe
 
Hiyo thread ya mwaka 2013 mkuu!Hebu soma comment ya mkuu @wikileksi then uje hapa tujadili kwa pa1
"Kaka yangu kheri ungetenda haki kwa kusimama miguu miwili" ni dhahili umeonyesha mapenzi yako kwa upande mmoja"
 
Habari kama hizi ndio zinanifungua macho kwakiasi kikubwa na kuona kuwa watanzania tumelogwa na alietuloga kafa!Nilikuwa nimesharudisha imani yangu kwa huyu Mzee Lowasa lakini sasa nasema BIG NO kwa EL!!!Shukran za dhati kwa alieufufua uzi huu.

Karibu mkuu. Yaani Lowasa ni hatari. Watu hawamjuwi tu. Ana ma-deal makubwa makubwa anapiga na Rostam, Chenge na Karamagi yenye kuigharimu hii nchi matrilioni ya pesa kila mwaka. Na kuna tetesi kuwa kamwahidi Rostam kumkabidhi aendeshe kituo cha kuzalishia umeme cha Kinyerezi akishinda urais. Jamaa atazalisha umeme huko na kuwauzia TANESCO na sisi wananchi tutaendelea kulipa bei kubwa tu. Huko Bandarini nako ndo kuna kampuni yake na Karamagi ya kupakua na kupakia mizigo ya TICTS atamilikishwa kabisa bandari jamaa akishinda. Sema hapana kwa Lowasa na wajulishe ndugu zako huko waliko.
 
Alaaaaaaa
MIE NAMUOMBEA MAMVI aka E LOWASA ASIMAMISHWE ILI ITUWIE URAISI KUICHUKUA NCHI KUPITIA KWA JEMEDARI WETU CHADEMA, DR W SLAA, EH MOLA TNAMTAKA FISADI PIA GAMBA LOWASA MABADILIKO YAWEZE KUTIMIA
 
Alaaaaaaa!sasa sio gamba tena!!
MIE NAMUOMBEA MAMVI aka E LOWASA ASIMAMISHWE ILI ITUWIE URAISI KUICHUKUA NCHI KUPITIA KWA JEMEDARI WETU CHADEMA, DR W SLAA, EH MOLA TNAMTAKA FISADI PIA GAMBA LOWASA MABADILIKO YAWEZE KUTIMIA
 
Habari kama hizi ndio zinanifungua macho kwakiasi kikubwa na kuona kuwa watanzania tumelogwa na alietuloga kafa!Nilikuwa nimesharudisha imani yangu kwa huyu Mzee Lowasa lakini sasa nasema BIG NO kwa EL!!!Shukran za dhati kwa alieufufua uzi huu.

If you cant convince them,confuse them
Jamaa kakuchanganya na we umechanganyikiwa
 
Epukeni kuwa mnataja mungu kwenye unafiki
MIE NAMUOMBEA MAMVI aka E LOWASA ASIMAMISHWE ILI ITUWIE URAISI KUICHUKUA NCHI KUPITIA KWA JEMEDARI WETU CHADEMA, DR W SLAA, EH MOLA TNAMTAKA FISADI PIA GAMBA LOWASA MABADILIKO YAWEZE KUTIMIA
 
Back
Top Bottom