Magufuli ampiga dongo Balozi Ali Iddi

Magu hajitambui tu.
Mara hii Sefu iddi hajagombea uwakilisha na ametangaza kuoumzika.
Sasa magu kama kawaida kuropoka
Magu ni mnafiki ameongea hayo kujipa sifa yeye.
 
Balozi Ali Idd alishatangaza zamani kuwa anaacha siasa wewe unakuja na ngonjera hapa ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kaa mbali maana yake huyo balozi asiwashwewashwe au hata kushauri. Hiyo ni warning kwa balozi au sivyo atakutana na chuma cha uncle. Wanasema it is a friendly warning vinginevyo atakutana na friendly fire.
 
Mkuu Statement zako hazina logic....
Kama unaijua CCM kwahio uliyajua hayo yote...., na kama uliyajua hayo yote kwanini hukutumia hizo mbinu?, Na kama hauna hizo mbinu na ulijua mbinu zinahitajika kwanini ulipoteza muda wako? Conclusion huenda unadhani unaijua lakini huijui..., pia kumbuka hindsight is 20/20 jambo likishatokea unaweza ukaleta justification zozote zile....
 
Kama ni kiboko ya mafisadi imekuwaje ajenge uwanja wa ndege kijijini kwake tena kwa kampuni ya ndugu yake???
Bepari Kubw Ranchi heka 25,000 hakuna Afrika mashariki ndani ya miaka 2 akiwa utawalani aibuuuuuuu
 
Magu hajitambui tu.
Mara hii Sefu iddi hajagombea uwakilisha na ametangaza kuoumzika.
Sasa magu kama kawaida kuropoka

Kuna watu hawatakaa kupumzika. Wana fikiri ndio wenye Hati miliki ya Tanzania. Bila kuambiwa huwa wataleta shida na ujuaji
 
Kuna watu hawatakaa kupumzika. Wana fikiri ndio wenye Hati miliki ya Tanzania. Bila kuambiwa huwa wataleta shida na ujuaji
Mimi nawaza kweli Magu anaweza kuwa chini ya MTU ? Yaani awe rai kama Kikwete? Maana amezoea pesa zote na watu wote kuwa chini yake Nawaza atapata tabu sana
 
Mwengine ni Polepole ukimaliza uchaguzi anatupwa nje
Sasa huyo ni Bomu la petrol maana kauli zake zinaweza kabisa kuwasha machafuko ya nchi hii, anakera anakereketa anaudhi, anauchochezi fulani hivi!!
 
Mbona mangala ni makamu mwenyekitiwa Ccm tangu miongo hadi mkataka kumuua kwa sumu?
😀 mimi sio ccm na wala si mpenda siasa kihivyo mkuu,hata kama yuko kwenye game kwa miaka hiyo inabidi apumzike kwa kweli
 
Amwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi

Kwahiyo hii taarifa yako iliyojaa 'Upashkuna' ina 'Maendeleo' gani kwa Taifa letu au nchi yetu hii? Ni 'Kauli' ambayo 'itaipashia' Tanzania Kiuchumi?
 
Ukiona hivyo ujue kuna afsa kipenyo kapenyeza umbea hapo.. na jamaa hana filter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…