Magufuli amewaumiza watumishi wa umma!

Magufuli amewaumiza watumishi wa umma!

Hao ni wa kupigwa chini as jobless wako kibao mtaani
 
magufuli hawezi kutikisa visiki vilivyo mchimbia ikulu atatikisa wengine lakini kwa bwana para na kundi laki kiboko yake
 
Sijawahi kuona kujikomba kwa kiwango hiki cha unafiki na uzandiki kwa hiyo unawashtaki watumishi wa umma kwa wananchi huku ni kujikomba kwa kiwango cha degree ya kwanza!@#@^$*&*!
Ndipo ulipoishia upeo wako. I respect your opinions
 
Well said! Human resources ndo kila kitu hata km wagonjwa wote watalala vitandani lakini daktari hana moyo wa kuwatibu watakufa tu, lakini hata wakilala chini na daktari ana moyo wa kuwaponya watatibiwa na watapona tu

Kwanza kabisa tukiwa na mazingira mazuri yanayopunguza wagonjwa hatuhitaji vitanda vingi hospitalini. Je, nini kifanyike? Tunahitaji wagonjwa ili tuwatibu?
 
daktari akiwa night shift ana pingamizi kujiburudisha mchana? ukiwa ukanda wa pwani mchana kutwa utakuta watu vijiweni wakinywa kahawa na kupiga soga. ukichunguza utagundua kuwa wengi wao kama sio wote wako kazini baharini usiku kucha. usipende kujumuisha katika hoja zako
Escapist, mkiambiwa ni wavivu mnakuja juu.
Nipe hata jina la mvuvi anayekunywa saa nane tisa, licha ya kuwa kinyume cha sheria.

Magufuli kaenda wizara nyeti ya fedha asubuhi kabisa, na waliojongea wanatoa sababu kama zako.
Mvivu wahedi!
 
Hebu weka majina ya hao madaktari tumpatie mkuu wa wilaya ya temeke awasweke rumande maana wana kunywa na kushinda bar muda wa kazi!
Wambie wajiandae kunyooka!

Daaaah! angewapiga picha ili tuwafuatilie vzr
 
Wakuu, niko Rachel bar Moshibar .- Ukonga. Pembeni yangu kuna watu watano wanapata bia. Katika hali ya kustaajabisha namsikia jamaa mmoja akilaani kitendo cha mh. rais kufuta sherehe za uhuru. Anaelezea jinsi gani rais anavyojijengea chuki na watumishi wa umma. Jamaa anahitimisha kwa kutolea mfano yeye akiwa daktari kwenye sherehe za uhuru hutoka na shilingi laki tatu. Anajiapiza kuwa Magufuli atarogwa kwa sababu hii ya kuwanyima ulaji.

Baada ya kuyasikia haya nasema moyoni mwangu, bado safari ni ndefu sana kufikia mageuzi ya kweli. Juzi nilimsikia mama mmoja akilalamika kuwa mwalimu mkuu (shule hakutaja ) alimwambia wazi wazi kwamba kitendo cha kuondoa michango na tuition mashuleni hakikubaliki. Kwamba walimu hawajafurahi hata kidogo, kisha akamwahidi mama huyo kuwa baada ya miezi sita mtakuja kutupigia magoti mkiomba tuition.

Hivi watanzania tumekuwaje hasa!? Unataka nini? Mbona inavyoonekana "wasomi" ndio wanageuka kikwazo kwa mabadiliko chanya? Kundi la wasomi limegeuka kuwa wapigania maslahi binafsi. Tutafika kweli!!?

Mungu mtie nguvu rais wetu, tuko pamoja naye. Amina

We nyenyere haukuwa na simu yenye kamera ukawapiga picha ili tuwafuatilie na kuwanyoooosha? maana serikali ya sasa ni full kuwanyoosha wazembe na wala rusha
 
Ngoja awatie adabu tu. Wanafikiri ndiye yule jamaa amabye alipoingia Ikulu kwa mara ya kwanza, basi mwezi mzima milango ya Ikulu ilikua wazi kwa watoa pongezi kwenda kutoa pongezi zao!
 
Mkuu Posho za wabunge ziko kisheria sio Hisani hivyo hawezi kuzifuta labda kupunguza.

Dodoma sio eneo la kazi kwa wabunge bali ni kwenye majimbo yao. Huwezi kumtoa mbunge kule mtwara aje Dodoma usimpe pesa ya accomodation pamoja na kujikimu

Posho hii haiko tu kwa wabunge bali kwa wafanyakazi wote wa umma na makampuni binafsi wakiwa nje ya eneo lao la kazi.

Mi namaanisha wafutiwe posho ya makalio, wabaki na perdiem tu ambayo ndo hata wafanyakazi wa umma wanalipwa wakiwa nje ya vituo vya kazi

Au mkuu hujui kuwa wabunge wanalipwa perdiem pamoja na sitting allowance??!!
 
......
Baada ya kuyasikia haya nasema moyoni mwangu, bado safari ni ndefu sana kufikia mageuzi ya kweli. Juzi nilimsikia mama mmoja akilalamika kuwa mwalimu mkuu (shule hakutaja ) alimwambia wazi wazi kwamba kitendo cha kuondoa michango na tuition mashuleni hakikubaliki. Kwamba walimu hawajafurahi hata kidogo, kisha akamwahidi mama huyo kuwa baada ya miezi sita mtakuja kutupigia magoti mkiomba tuition....

Huyo mwalimu achezee pesa hasijaribu hata kidogo kuchezea kazi....! Ajaribu aone.
 
Wasomi ni kikwazo, ndiyo waliomshabikia hata lowasa

its too much now! unachojua ni kumtukana lowasa, kutukana wapinzani as if uwepo wa upinzani ni kinyume cha sharia na taratibu za nchi! upinzani ni sehemu za demokrasia na wala sio uadui, uhaini wala kuukosa uzalendo!

Bila ya huyo Lowasa unayemtusi kila mara, Magufuli asingalifika hapo........! Ingekuwa membe au February!
BTW, naona ulipendekeza January awe PM.......(siuji upoje naye) isije ikawa unachuki na lowasa kwa kujua bila ya wale (tunaimani na lowasa, oyaaa oyaaa oyaaa) Jamaa yako angekuwa Rais au PM!

Hubiri umoja wa kitaifa acha kukariri!
 
Back
Top Bottom