johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,304
Amewataka wanamtwara bila kujali itikadi kutatua changamoto ya wanafunzi kufeli kwa haraka sana.My take DSM waanze kutia nywele maji maana Rais ameongea kwa kumaanisha akisisitiza nchi haiwezi kuongozwa na wajinga!Chanzo Tbc