Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Mtasubiri sana, uzuri wapiga kelele ni wa Mtaa wa pili
 
Siamini kama duniani kwa sasa hivi kuna nchi ina Rais hewa kama huyu wa kwetu!
Leo nimesikiliza DW anasemwa kwamba ameshuka na kamatakamata ya wapinzani na kufungia vyombo vya habari vimeshusha imani ya wananchi na kuleta wasiwasi nchini
 
Kuzuia watu wasimkosoe ndio kinga yake.
 
Nimewaona ccm na kijani zao kwenye majanga ya bukoba
 
1. "Milioni "50" kila kijiji".. Looh!!

2."Ajira za kumwaga"....duuuh!! Nadhani mnajionea kinachoendelea huko uswahilini.

3. "Mwendelezo wa Rasimu ya katiba mpya"...(ameshasema Hapangiwi/hamna fedha za kuchezea hapa)

4. "Tanzania ya viwanda"... πŸ˜‚πŸ˜‚sijapenda kucheka "mniwie radhi" maana vyerehani vimekuwa vingi kuliko washonaji.

5. "Dhana ya uhakiki".....😒hapa tumechotwa!! Miaka mitano inaishia hivyo kila siku uhakiki.

6. "Maendereo hayana chama"...wakati huohuo inatoka kauli, nanukuu "haya yote nafanya kwa sababu ya hao waliovaa nguo za (Kijani) "

7. "Hakuna kuangaria Bunge Raivu, nataka watu wachape kazi"......πŸ˜‚πŸ˜‚Wakati huo yeye yupo live kwenye "TBCCM" na ni muda wa Kazi.

8. .......
9. ........
10. .......

#We have a long way to go.
#Uvumilivu wa Watanzania hauna mfano duniani
#Ukitaka kumtawala "mtu" mnyime elimu bora (Mpe elimu bure)

Louis II
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…