ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Anaeteua ndie anaetoa majukumu.Sio rais anayetoa majukumu ya anaowateua, ipo tume ya utumishi hii ndio Ina majukumu ya kuanisha wajibu, mamlaka,majukumu na kadhalika.
Rais anateua tu hivi vyeo vipo kikatiba ILA kwa kuwa Mara nyingi watu hubaki na vyeo na sio wajibu na majukumu ya cheo husika.
Wewe ni mgeni huko Mwanza? Kwa miaka sasa nimekuwa natambua Mwanza ni mji wa wajajanja au ndio wewe uliyepelekwa kudeki barabara wakati wa kampeni?
Sheria ya uhujumu uchumi inakifungu kinachokataza mfanyabiashara kuhifadhi bidhaa bila ya kuiuza kwa lengo la kusababisha upungufu wa bidhaa hiyo. Hili ni kosa la jinai hivyo swala la kuchunguza nia ovu ni muhimu. Hivyo vuteni subira uchunguzi ufanyike watu hao watapelekwa mahakamani au kuachiwa huru kwa kushindwa kuthibitisha nia ovu.
Kama godauni husika huwa linauza tani mia tano kila siku ghafla anaanza kuuza tani tano kwa siku kisha anasema hakuna sukari wakati ndani ya godauni kuna tani elfu ishirini. Hapa kosa linakuwa limetendeka ila nia haijulikani. Huyu mtu atakamatwa kwanza halafu ndipo nia yake ichunguzwe kutokana na utetezi wake. Naamini hata kama ukuwa mjinga vipi utakuwa umenielewa.
Miaka ya nyuma ukanda huo ulitoa maprofesa wanane enzi za utawala wa Mwl Nyerere na Mwinyi. Sasa hivi eneo hilo linatoa wajinga wengi mpaka inatisha.
Uthubutu wa kutumbua vipele, wengi tu wanao. Watz wanaona kuliko unavyodhani. Yapo majipu makubwa kama ya rada, kagoda, meremeta, mabehewa, barabara mbovu, escrow etc wananchi wanasononeka, wahusika wanapeta. Anavyozidi kuyakwepa na mvuto hivyo hivyo unazidi kumkwepa. Hiyo lugha ya mpe muda nayo imeshachuja.Wewe mtoa hamjui JPM vizuri na pengine unadhani anatafutaga sifa ,ebu time mda zaidi.Fahamu kua kuna aliyoyafanya kwa kipindi cha miezi 6 alichokaa madarakani ambayo watangulizi wake wameshindwa kuyafanya kwa miaka 30.Ameonyesha uthubutu wa kipekee sana,tusimhukumu kwa ambayo hajayafanya kabla ya kuzingatia kwanza yale ambayo ameweza kuyafanya.
Pole sana kumbe no seriousness. Over and out.Kwani mda wake umeisha?Zingatia aliyofanya kwanza na kama unaona hayo aliyoyafanya ni sawa na kutumbua vipele naomba nikushauri usubiri hadi siku utakapokua na wadhifa kama wa JPM ili tukuone kasi yako vinginevyo tumpe mda zaidi kwakua sasa hivi ni mapema mno kuanza kumuona hafanyi Kazi.So far amejitahidikwa mtazamo wangu.
Huo ni uamuzi uliopangiliwa kisayansi na si wa kukurupuka. Sijui wewe mshipa unakutoka kwa nini? Au ni kwa sababu hutumii akili zako kufikiri?Utasubiri uchunguzi huo mpaka 2018 viwanda tunavyoambiwa vitaanza kuzalisha sukari kwa wingi vitakapanza kuzalisha na hakuna mtu yeyote atakayepelekwa mahakamani!!
Hii ni administrative tactic tu ya serikali hii inayoongozwa na CCM kucheza na akili za watu kwa kuzua matukio kuficha aibu ya mfalme wao!!
Maamuzi mabovu ya kukurupuka ndiyo matokeo yake haya!!
Huo ni uamuzi uliopangiliwa kisayansi na si wa kukurupuka. Sijui wewe mshipa unakutoka kwa nini? Au ni kwa sababu hutumii akili zako kufikiri?
kabisa mkuu!
upinzani ndio ume to let down, it seems for 20 yrs they dont know how to win election..pity
Usivyo ifahamu nchi yako utafiriri mkimbizi wa kutoka kuzimu. Toka miaka ya sabini Tanzania inayo aina ya gari inayoitengeneza nayo ni NYUMBU inayotengenezwa na wnajeshi. Baadhi ya magari hayo yamewahi kuoneshwa hapo bungeni. Sijui ulikuwa umelazwa kwa tatizo la akili? au ndio umepevuka miaka miwili iliyopita na kukuta wenzio wakideki barabara baada ya zibguo la mahaba?Hiyo sayansi ya miaka 50+ chini ya utawala wa CCM isiyo na majibu kwa ishu ya sukari tu basi tutahitaji sayansi ya miaka 1,000,000 kuja kutengeneza automobile brand ya Tanzania!!
Sijui umenielewa hapo au imedunda tu kama ilivyo kawaida yako?...Usijali mimi niko full unaweza kuendelea kujadiliana nami.
Nakupa guarantee kuwa, hiyo sumu uliyolishwa na CCM itakutoka tu na ufahamu wako utafunguka Msororo69!!