phoncechili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 204
- 130
USA ishaongozwa na vyama Vinci sana!Mimi nimefurahi Ila Raisi apumzike alale maana aliamini umaskini unaletwa na upinzani Sasa wamebaki ccm,tutaona nchi yetu ikiendelea kwa kasi ya 5g Kama USA, ajira kuwa bwerere, maisha kuwa mazuri
Hiyo nayo ni mbaya bila kuwepo upinzani, mambo yote watakuwa wanakubari tuu kutoka kwa mwenyewe yani serikali ya ndio mzeeMimi Binafsi nimefurahi Sana nafsi yangu, nyeupee, Maana wapinzani hata wangeshinda kumi bado wangekosa kura ya veto.
Bunge lijalo hakuna Tena Upinzani uchwara, Nichama tawala pekee Asante Sana Magufuli na Hongera kwa Ushindi,
"ACHA KAZI IENDELEE"
Maana mzee mda mrefu alikuwa anawaza upinzani unakwamisha maendeleo sasa Yuko na ccm tu I do believe ajira zitakuwa nyingi na umaskini kwishaUSA ishaongozwa na vyama Vinci sana!
Na Mimi ndio nasubiria maana kikwazo upinzani kimeondolewa na Sasa mheshimiwa watu watazidi kumpenda sanaebu na tusubiri tuone mabomba ya maji na maziwa nchi nzima
Kaburi gani hilo wakati tunayoyashuhudia ni kuwa hakuna mtu wala kitu cha kuwazuia?CCM Imejuchimbia Kaburi Yenyewe.
Huyu kafanya kampeni ya miaka minne sio miezi miwili!Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Acheni niseme ukweli hata kama utanigharimu ila kikubwa nafsi yangu irizike.
Kuna mambo mengi mazuri yasiyoelezeka yamefanywa na huyu rais kwa muda mfupi wa miaka mitano ila amekuja kuharibu sehemu moja tu kwa muda wa siku chache.
Na ndio maana unaweza ukafanya mambo mengi mazuri ila kitu kidogo tu kikakutia doa. Kwa kweli kwa alichofanya magufuli amekosea sana.
How comes rais mzuri kama yeye afanye kampeni miezi miwili na wakati mambo aliyofanya miaka mitano yalitosha kumpigia kampeni.
Ingefaa hizo pesa za kampeni tungenunua hata vichwa viwili vya treni za umeme ili standard gauge ikikamika sehemu zote treni zianze kupishana kama Ulaya.
Vyama ni vitatu ila vikubwa ni viwili ndio wanabadilishana kila uchwao.USA ishaongozwa na vyama Vinci sana!
Kwani CCM hawawezi kuunda vyama vya upinzani?.RafikiSafari hii watamkumbuka Nyerere aliyewaasa kujenga chama kimoja cha upinzani au viwili, kitacho toa upinzani wa kweli na si utitiri wa vyama kama ilivyo sasa.
Safari hii watamkumbuka Nyerere aliyewaasa kujenga chama kimoja cha upinzani au viwili, kitacho toa upinzani wa kweli na si utitiri wa vyama kama ilivyo sasa.
Kikijengwa chama kimoja makini cha upinzani,CCM wanaunda vya upinzani wa geresha ili kukipunguza nguvu chama hicho makini na kuihadaa dunia ione kwamba tuna demokrasia.Siasa za maonesho.Safari hii watamkumbuka Nyerere aliyewaasa kujenga chama kimoja cha upinzani au viwili, kitacho toa upinzani wa kweli na si utitiri wa vyama kama ilivyo sasa.
Marekani kuna vyama vingi tu.Vyama ni vitatu ila vikubwa ni viwili ndio wanabadilishana kila uchwao.
Wametusaidia tu kwa sasa kuwa busy zaidi na mishe zetu pasipo wao kujua. Hakutakua na Mtanzania mwenye akili timamu atakaye poteza muda wake kuangalia Bunge la kusifiana, sijui ziara ya nani, sijui uzinduzi wa takataka gani! nk.Acha wakapigane wenyewe kwa wenyewe risasi sisi tutashangilia
Ndio ukweli huo mkuuWametusaidia tu kwa sasa kuwa busy zaidi na mishe zetu pasipo wao kujua. Hakutakua na Matanzania mwenye akili timamu atakaye poteza muda wake kuangalia Bunge la kusifiana, sijui ziara ya nani, sijui uzinduzi wa takataka gani! nk.
How? Fafanua. Huu ndiyo mwanzo wa ufalme wa chama kimoja. Kinachofuata Sasa ni kudumisha fikra za mwenyekiti tu.CCM Imejuchimbia Kaburi Yenyewe.
Sisi tuliowahi kuona utawala wa chama kimoja na kile kilichoitwa chama kushika hatamu, na mawazo ya mwenyekiti wa chama yadumu milele tunakusikitia sana.Mimi Binafsi nimefurahi Sana nafsi yangu, nyeupee, Maana wapinzani hata wangeshinda kumi bado wangekosa kura ya veto.
Bunge lijalo hakuna Tena Upinzani uchwara, Nichama tawala pekee Asante Sana Magufuli na Hongera kwa Ushindi,
"ACHA KAZI IENDELEE"