Halaiser JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,686 Reaction score 7,526 Mar 13, 2021 #21 Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Wenye Mamlaka ya kuifuta wenyewe wanapatia habari muhimu humu.
Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Wenye Mamlaka ya kuifuta wenyewe wanapatia habari muhimu humu.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Mar 13, 2021 #22 Aongezewe muda bana atawale milele
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,749 Mar 13, 2021 #23 Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 13,164 Reaction score 34,601 Mar 13, 2021 #24 Hii habari haina chanzo, tafadhali ifute JF itapata matatizo.
G Ghwakukajha JF-Expert Member Joined Apr 27, 2008 Posts 245 Reaction score 103 Mar 13, 2021 #25 Kama ni KWELI.. Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 2,584 Reaction score 10,936 Mar 13, 2021 #26 Naziona dalili za kutokulala kwa sababu ya kulia. Duuuu
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Mar 13, 2021 #27 Da'Vinci said: Daah unafaidika nini?? Click to expand... Nashangaa
M Manzile JF-Expert Member Joined Apr 23, 2020 Posts 717 Reaction score 1,933 Mar 13, 2021 #28 binti kiziwi said: Hii habari haina chanzo, tafadhali ifute JF itapata matatizo. Click to expand... Kila la kheri samia
binti kiziwi said: Hii habari haina chanzo, tafadhali ifute JF itapata matatizo. Click to expand... Kila la kheri samia
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 12,457 Reaction score 22,648 Mar 13, 2021 #29 Sio kwamba tumuongeze muda hata kwa kumlazimisha?
Woga tupa kulee JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 1,749 Reaction score 1,311 Mar 13, 2021 #30 Moderator Paw Toen takataka hii
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Mar 13, 2021 #31 Mods! Fungeni huu Uzi!
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,213 Reaction score 48,767 Mar 13, 2021 #32 Huyu mzee akifa Tanzania kutafurika furaha kuu. Katuumiza sana watumishi na Watanzania
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,936 Reaction score 831,424 Mar 13, 2021 #33 Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... ,
Kiraka Kikuu said: Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili Click to expand... ,
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,749 Mar 13, 2021 #34 Woga tupa kulee said: Moderator Paw Toen takataka hii Click to expand... Kwamba yeye hawezi kufa au ni uongo? Weka wewe za ukweli basi.
Woga tupa kulee said: Moderator Paw Toen takataka hii Click to expand... Kwamba yeye hawezi kufa au ni uongo? Weka wewe za ukweli basi.
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,213 Reaction score 48,767 Mar 13, 2021 #35 Christine1 said: Mods! Fungeni huu Uzi! Click to expand... Ufungwe vipi. Kwani tetesi ni dhambi, kwani yeye Mungu kwamba hawezi kufa?
Christine1 said: Mods! Fungeni huu Uzi! Click to expand... Ufungwe vipi. Kwani tetesi ni dhambi, kwani yeye Mungu kwamba hawezi kufa?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,152 Reaction score 137,155 Mar 13, 2021 #36 Mods wamelala?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,936 Reaction score 831,424 Mar 13, 2021 #37 Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Mpaka sasa ukiona uzi una trend basi tetesi inaweza kugeuka breaking news
Hazard CFC said: Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf Click to expand... Mpaka sasa ukiona uzi una trend basi tetesi inaweza kugeuka breaking news
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,936 Reaction score 831,424 Mar 13, 2021 #39 Missile of the Nation said: Hivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF. Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taar Click to expand... Kwa kasi ya nyuzi kufutwa huu usingechukua round
Missile of the Nation said: Hivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF. Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taar Click to expand... Kwa kasi ya nyuzi kufutwa huu usingechukua round