anthony kasile
Member
- Nov 20, 2015
- 90
- 16
jamani magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa star tv kuwa waziri nmeiskia asubuh kwenye tuongee magazeti. sasa akimteua diallo si ndo kufadhili marafiki yan hapa ndo ntajua unafiki wa magu
Mkuu kama uko UKAWA na ni TeamLowassa utachoka sana miaka hii mitano.jamani magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa star tv kuwa waziri nmeiskia asubuh kwenye tuongee magazeti. sasa akimteua diallo si ndo kufadhili marafiki yan hapa ndo ntajua unafiki wa magu
Amekuchosha alikuwa anakufanya nini kwani.jamani magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa star tv kuwa waziri nmeiskia asubuh kwenye tuongee magazeti. sasa akimteua diallo si ndo kufadhili marafiki yan hapa ndo ntajua unafiki wa magu
Tena mwaka huu utachoka sana kubali au kataa ila utachoka sana pole sana hiyo ndiyo kasi ya magufuli bana.
Jamani Magu anadai kua hakuna mfanya biashara aliemchangia na kuna tetesi Anthony diallo yule fisadi wa Star Tv kuwa waziri nmeiskia asubuhi kwenye tuongee magazeti. Sasa akimteua Diallo si ndo kufadhili marafiki yani hapa ndo nitajua unafiki wa Magu.