Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

Uongo Mtupu..Akitaka tumkubali kwanza A toe Msimamo Wake Kuhusu Katiba ya Change na Sitta.

Ile katiba haitapita.
We ngoja tu uone.
Wanaoitaka imekula kwao.
Kura za maoni zitaifutilia mbali.
Ile mchakato wa katiba lazima urudiwe.
 
Magufuli huwezi pita kahama ulimpa tenda rafiki yako akakugawia mgawo barabara madaraja yote chini ya kiwango rudisha pesa zetu Fisadi wewe
 
Jamani hali ni mbaya sana ccm...kwa mujibu wa kikao cha usalama ndani ya ccm kilichokaa jana kidogo kivunjike kutokana na watu kulaumiana na wengine kushikana mashati...baada ya ripot kutoka kuwa kwa miujibu wa takwimu uchaguzi ukifanyika leo lowassa lazima ashinde kwa asilimia 70 huku magufuli akiambulia 13...kikubwa kilichojadiliwa ni baadhi ya wanamipango kushindwa kutumia 150 billion zilizotengwa kuisambaratisha ukawa..huku kazi iliyokwisha fanyika kwa Lipumba..slaa..ray kagosi na aunt ezekiel zikilaumiwa kutumia zaidi ya bilion 20 bila kuzaa matunda yeyote..huku baadhi ya wajumbe wakishikana mashati kwa kutuhumiana kumuunga mkono lowassa chini chini..sasa mwisho ikaamuliwa hivi..katika hawa..MBOWE..MBATIA..MNYIKA..LISSU..MSIGWA..LEMA..BAREGU..PROF SAFARI.MZEE MAKIHIDI....mmoja ni lazima apatikane kwa gharama yoyote na aisaliti ukawa na kuhamia ccm kwa kishindo...ile timu ya kwanza iliyopewa kazi imeambiwa ikae pembeni..imechaguliwa timu mpya ikiongozwa na kinana na january makamba...na imepewa hadi tarehe 4/10 Iwe tayari imeshafanya kazi hiyo ya kuisambaratisha ukawa?? Na wakaja na mbinu mpya yaani PLAN A...NA PLAN B...NA PLAN C..ni kwamba endapo plan a itafeli basi itumike plan b ..ambayo ni kikwete na timu ya marais wote wastaafu kwenda kumuangukia lowassa arudi ccm na kuitekeleza ukawa..plan hii ikishindikana na lowasaa akikataa ni wamtume kikwete kwenda kuongea na lowasaa waweke makubaliano ya kwamba endapo atashinda urais kuwa akuna mambo ya kukamata mafisadi waliousika na wizi wa mali za umaa..na endapo plan zote hizo zikikataa watatumia plan ya mwisho ambayo ni General Dennis mwamunyange kuchukua nchi kwa kishindo....kwa hiyo timu imeanza rasmi kazi jana...tuweni makini jamani maana hizo 150 billion siyo mchezo...ukisikia kiongozi yeyote wa juu akiondoka ukawa na kufanya mambo ya hajabu ujue tayari...hali ni mbaya sana ndani ya ccm kiasi kwamba hata kikwete amuamini kinana anahisi pia anatumia na lowassa yaani sasa hivi ni kushikana mashati....wanajiuliza eti..endapo mikutano yetu ingekuwa aina Diamond..ali kiba..yamoto band..basi tungekuwa tumeshashindwa mapema maana hata mgombea wetu anaongea zaidi kama mpinzani na siyo mwana ccm...hotuba zote tulizomuandalia amekuwa akikataa kuzitumia huku akiibuka na hotuba zake za ajabu ambazoo zinakinzana na mwenyekiti wake kikwete....jamani makamanda kuweni makini pesa imetoka hiyo
 
[font="]mambo matano mazuri ya magufuli akiwa rais[/font][/color]
[b]usimamizi bora[/b]
taswira ya kwanza ambayo magufuli anaweza kuirejesha bila wasiwasi ni usimamizi thabiti wa serikali na nidhamu ya utendaji ndani ya serikali. Naamini kuwa serikali ya magufuli itakuwa ya kiusimamizi na yeye mwenyewe anaweza kulifanya jambo hilo bila kusita. Katika nyadhifa nyingi alizopitia hadi sasa ameijenga taswira hii kila alikopita na bado inambeba hata ikitokea anachaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano.
Tukumbuke kuwa moja ya mambo ambayo yameanguka kabisa nchini hivi ni utendaji ndani ya serikali. Tunafahamu kuwa wafanyakazi ndani ya serikali ukiachilia mbali matatizo waliyonayo kwa maana ya vipato, hata mambo madogo ambayo wangeweza kuyasimamia ndani ya dakika au saa chache huchukua wiki kadhaa na hata miezi kadhaa. Utaratibu wa utoaji huduma umekwama sana na nadhani kama akiwa na uwezo huo atafanikiwa kutatua changamoto kubwa na ya siku nyingi. Ikiwa utendaji wa serikali unaimarika na huduma zinatolewa kwa wakati, tutaweza kujenga taifa linalokwenda mbele bila kujali chama gani kiko madarakani.
[b]msimamo imara[/b]
taswira bora ya pili ya serikali ya magufuli inaweza kuwa ni misimamo katika masuala ya msingi na kutoyumba sana. Magufuli muda wote ambao amekuwa kiongozi ameonyesha jambo hilo. Kila mara amekuwa na misimamo hata kama siyo sahihi. Kwa tafsiri nyingine hii huwa ni njia bora ya uongozi wa nchi japokuwa misimamo ya serikali au kiongozi mkuu wa serikali huwa haipaswi kuwa juu ya haki na matakwa ya wananchi.
Moja ya mambo ambayo serikali iliyopita ilikosa, ni pamoja na kukosa misimamo na kuwa na "double standard". Mfano mdogo tu ni kwenye mchakato wa katiba mpya ambapo rais anayeondoka alisimamia uanzishwaji bora wa mchakato huo, akaunga mkono katika hatua zote na rasimu zote, lakini akaja kuwageuka wajumbe wa tume hiyo na rasimu yao ya pili alipolihutubia bunge maalumu la katiba. Naamini magufuli si mtu wa kugeuka na kuna masuala mengi anaweza kuyasimamia kwa dhati na kila mmoja wetu akakubali kuwa, naam! Hapa kuna kiongozi anasimamia masuala haya.
[b]uwezo wa kusimamia miradi[/b]
taswira ya tatu ya serikali inayoweza kuundwa na magufuli ikiwa atachaguliwa kuwa rais ni uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo. Magufuli ni mtu wa namna hiyo na ametuonyesha katika sekta ya ujenzi na hasa katika eneo la barabara. Moja ya masuala ambayo nayaona kama mafanikio makubwa ya serikali ya kikwete ni ujenzi wa barabara, ukiniuliza, nitakwambia jambo hili ndilo kikwete anapaswa kujivunia atakaporudi nyumbani kwake pale ‘msoga'. Lakini aliyeleta mapinduzi hayo kiusimamizi ni magufuli.
Mwalimu nyerere aliwahi kusema kuwa "ikitolewa tenda ya ujenzi wa barabara nchini tanzania na india halafu nchi zote zikakabidhi tenda hizo kwa watoto wa marais wa nchi, kule india walau barabara ya ‘kudanganyishia' itajengwa lakini hapa tanzania unaweza usione hata kokoto" (tafsiri yangu). Dhana hiyo ina maana kwamba huku kwetu wizi na kujijazia manoti ndivyo vitu vinavyoshamiri na kwa tafsiri ya mwalimu "ilipasa magufuli awe anaongoza kwa kuchukua noti za barabara na kuzijaza tumboni kwake", jambo ambalo limekuwa nadra kutokea na kama liliwahi kuwepo ndiyo tutajua sasa wakati watu wataanza kutoa taarifa zake kwa sababu anataka kwenda ikulu. Kwa uwezo huu wa kiusimamizi namuona magufuli akisimamia miradi ya serikali kwa ustadi mkubwa hata kama siyo "waziri wa miradi" katika serikali atakayoiunda.
[b]mawaziri imara[/b]
taswira ya nne nayoiona katika serikali ya magufuli ikitokea anashinda urais wa tanzania ni uundaji wa baraza la mawaziri na nyadhifa za kiutendaji zilizojaa watu wenye uwezo kuliko marafiki. Serikali zetu kadhaa zilizopita ikiwamo hii inayoondoka zimekuwa na sifa ya kubeba marafiki kufa au kupona. Siyo siri kwa jk amelalamikiwa mno na mara kadhaa serikali yake ilionekana kama "imejaa washkaji" watu wanaolindana na kuoneana haya kwa heshima za urafiki kuliko kuangalia maslahi ya nchi.
Magufuli anaweza kuwa dawa ya serikali za ushkaji kwani tangu kwenye mchakato wa kupata wagombea ndani ya ccm hakuonekana kama "kitisho" na hakuwa na makundi nyuma yake, penyeza yake ya kimya kimya hadi anakuwa mgombea urais wa ccm imemsaidia kuanza kujenga marafiki wasio na masharti ya kutaka kubebwa naye. Marais wengi huunda mitandao na mitandao hiyo huwapa fedha mapema na huwasaidia kila jambo, wanapofika madarakani huwa na deni la kuilipa mitandao hiyo, malipo yenyewe ni miradi ya serikali, tenda mbalimbali na vyeo lukuki. Naamini magufuli hatakuwa na tatizo hilo na itamsaidia kutengeneza serikali isiyo na "washkaji kibao."
[b]ccm yenye nguvu[/b]
taswira ya tano inayoweza kujitokeza ni uwezekano wa kurejesha nguvu ya ccm ambayo inasambaratika, na naamini hili linaweza kujitokeza sana hasa kwenye kipindi cha kwanza cha uongozi wake. Siamini kama ataweza kurekebisha taswira ya ccm kwa miaka mitano mingine (ikiwa atapata vipindi vyote viwili) kwa sababu hatujaona utendaji halisi wa serikali ijayo, ikiwa ccm ndiyo itashinda. Wananchi wengi hawaiamini tena ccm na jambo hilo linaweza kuipeleka ikaangushwa katika uchaguzi wa mwaka huu, lakini ikitokea ccm inavuka kizingiti na inapona kuangushwa halafu magufuli anakuwa rais, anaweza kujizatiti na akatumia miaka mitano kufanya mambo makubwa yatakayowafanya wananchi warudishe imani kwa chama hicho. Ila akifanya vibaya sana atazidi kuididimiza. Kwa mtazamo wangu wa msisitizo ni kwamba naona akifanikiwa kwenye eneo hili, japokuwa naweka msisitizo wa pili kuwa ni lazima tusubiri kujua ikiwa atashinda kipindi chake cha kwanza kitakuwaje kiuongozi.[/quote]

[font=arial black][b][size=4][color="#0000cd"]Cha kwanza utambue sina akili ya kushikiwa kama wewe, pili najua nini nataka hivyo usipoteze muda wako kuni"quote" na upuuzi kama huu mbona mabaya yake hujaandika ili niweze kumchambua mwenyewe.

Huko shule sijui mlikuwa mmekwenda kubarehe au kuwapunguzia wazazi wenu presha za maisha. Na ningekuwa na mtoto kama wewe ni bora nibadilishane na Sungura nile nyama kuliko kuwa na mtoto kwenye kichwa kitupu kama chako..
[/size][/b][/font]
 
acha kutuongopea picha tushazipata umebugi meeeeeen....ole yako wote tupo ukawa wewe tuuuuu
 
Amnadi asimnadi kichinjio kipo pale pale siasa za maji taka hizo tumebalika ni Lowasa tu atosha
 
mmmmmh mwanzo mzuri kujitofautisha nayule kinara wa mabadiliko ya kurudi nyuma Lowassa kwa kumkumbatia Chenge

I think it was staged!planned to deceive people's power.Ilipangagwa think outside the box and move forward for change
 
Wewe ni mnafiki tena Fisadi mkubwa wewe kama Huyo Chenge maana unaudanganya umma mchana kweupe. Huyu Magufuli hawezi kusukuma gari aliyopanda.

Kwanza yeye ni Fisadi kuliko mtu yoyote ndani ya CCM na Nje ya CCM. Kagawia hawala zake Nyumba za Umma.

Katutia hasara ya Tilioni 1.4 kwa makandarasi tu hiyo katia hasara nyingine zaidi ya bilion 256 tena alitudanganya kuwa anakwenda kujenga Barabar mwaka 2011 kumbe mchongo wake tu.

Tena kuna pesa bilion 77 amepinga anasema ziko hazina, wakati anajua amepiga na hazina hakuna. billion kumi azijulikani zimelipia nini bilion 3.02 amelipa kammpuni hewa yaani wamepiga.

Kivuko cha bagamoyo katupiga bilioni 8 wakati hakifiki hata bilion 1 yaani afai kabisa maana hata uongo ni wa kwanza ametudanganya kuwa atatembea kwa gari wakati jana tu alikuwa ndani ya ndege muongo mkubwa hatumtaki kwa sababu ni mfumo wa CCM.
 
mmmmmh mwanzo mzuri kujitofautisha nayule kinara wa mabadiliko ya kurudi nyuma Lowassa kwa kumkumbatia Chenge

Kwa hiyo Maguguli anachukia mafisadi ila CCM inapenda mafisadi? Maana CCM imewapa fomu na Kisha kuwapitisha wagonbee. Leo hii mgombea Urais anawezaje kusema ni mafisadi? Naamini hapa kuna dalili ya uongo au Sanaa.
 
Back
Top Bottom