Mawaziri wengi wa Kikwete wanajitahidi kuchafuana kwenye media, hasa wale wenye nia ya kugombea urais 2015. Na Pombe ni mmoja wa hao wanaojikakamua kusafisha njia kwa kuwavua wenzake nguo!
Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe kumalizika. alisema ""
source: TANZANIA DAIMA YA LEO
we dada utahangaika sana na mimi juu ya hizi ri za kipogoro,ndio zimenifikisha huku nakula kodi za wazungu wezi wa mali ghafi zetu,
utahangaika sana kurekebisha,lakini kiukweri ndizo zinazo nipa maisha majuu
Wakati tulipokuwa na Rais anayewadhibiti mawaziri wake, Fedha za Miradi ya Maendeleo zikishatengwa kwenye Bajeti, na taratibu za kutoa tender zikakamilika, siyo Waziri wa Fedha alikuwa analipa mkandarasi. Mkandarasi alilipwa na Katibu Mkuu wa Wizara husika ambaye alikuwa ndiye "Accounting Officer".
Kama Serikali hii ya sasa imefikia kiasi cha mawaziri kuingilia kulipa moja kwa moja wateja wanaotoa huduma, basi tujue karibu Tanzania ikwame.
acha jeuri mkuu.....rekebisha lugha.......
Kiranga
Hivi kweli tunahitaji kamusi itafafanulie namna ya viongozi tulio nao Tanzania hii ya leo? Magufuli alichotafuta si umaarufu ni dhihaka kwa wananchi aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari; mh. Magufuli ni mtendaji wa siku nyingi anafahamu fika namna gani viongozi wa serikali wanafanya mawasiliano kati yao; kama suala ilikuwa ni wizara ya fedha inafanya uzembe wa kuchelewesha malipo upo utaratibu maalum wa mawasiliano angeweza kuwasiliana mh. Mkullo na si kupitia vyombo habari; mawaziri wanakutana kwenye mikutano wa mawaziri na kwenye vikao vya chama; sasa iweje leo atumie vyombo vya habari? kama sio dhihaka ni kitu gani? na ndio sababu nilipendekeza tutoe mifano ya wanasiasa wetu; kimsingi ipo tofauti kubwa kati wanasiasa wa Marekani na wanasiasa wetu; hatukatai wote wanaitwa wanasiasa lakini wakiwa na malengo tofauti; wamerakani wanazotofauti lakini wote wana lengo moja kuifanya nchi imara na bora kiuchumi; hawa wetu wametawaliwa na ubinafsi malengo yao yamebadilika si kulitumikia Taifa ni kujilimbikizia mali kwa rushwa na ubadhirifu; si ajabu mh. Magufuli alikuwa anamkumbushia Dr. Mkullo atoe pesa ali apate kamisheni zake; wote tunajua wizara ya ujenzi ni moja ya wizara yenye rushwa ya hali ya na tenda zote zinapatikana kwa rushwa; Dr. Ron Paul na uraisi hilo sina hakika nalo ila ni mtu ambaye siku zote anasema kile anachikiamini na si kuwafurahisha wapiga kura.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Magufuli amchana Mkullo, I mean a Nation founded on Mikingamo and Pwagu Pwaguzis nonsense empty theories! To this day 25 years after its invention by the great Sozigwa bado we are still a Nation hanging on the mysteries an illusions, so we create a myth I mean a big headline with no substance or any facts to match the heading we all wish it was true that Magufuli can rip Mkullo on the governments finances that we all know not to be true.
- Wafanyakazi wa serikali hawajalipwa mishahara for months now icluding wa wizara ya Magufuli, lakini here we are na the myth kwamba bado Mkullo is sitting on hela za Makandarasi and tunaambiwa Magufuli ni Presidential Material! Ha! Ha! Ha! ONLY IN TANZANIA! - Le Baharia
hapo kwenye nyekundu nalo neno
Kiranga
Hivi kweli tunahitaji kamusi itafafanulie namna ya viongozi tulio nao Tanzania hii ya leo? Magufuli alichotafuta si umaarufu ni dhihaka kwa wananchi aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari; mh. Magufuli ni mtendaji wa siku nyingi anafahamu fika namna gani viongozi wa serikali wanafanya mawasiliano kati yao; kama suala ilikuwa ni wizara ya fedha inafanya uzembe wa kuchelewesha malipo upo utaratibu maalum wa mawasiliano angeweza kuwasiliana mh. Mkullo na si kupitia vyombo habari; mawaziri wanakutana kwenye mikutano wa mawaziri na kwenye vikao vya chama; sasa iweje leo atumie vyombo vya habari? kama sio dhihaka ni kitu gani? na ndio sababu nilipendekeza tutoe mifano ya wanasiasa wetu; kimsingi ipo tofauti kubwa kati wanasiasa wa Marekani na wanasiasa wetu; hatukatai wote wanaitwa wanasiasa lakini wakiwa na malengo tofauti; wamerakani wanazotofauti lakini wote wana lengo moja kuifanya nchi imara na bora kiuchumi; hawa wetu wametawaliwa na ubinafsi malengo yao yamebadilika si kulitumikia Taifa ni kujilimbikizia mali kwa rushwa na ubadhirifu; si ajabu mh. Magufuli alikuwa anamkumbushia Dr. Mkullo atoe pesa ali apate kamisheni zake; wote tunajua wizara ya ujenzi ni moja ya wizara yenye rushwa ya hali ya na tenda zote zinapatikana kwa rushwa; Dr. Ron Paul na uraisi hilo sina hakika nalo ila ni mtu ambaye siku zote anasema kile anachikiamini na si kuwafurahisha wapiga kura.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Mazee hapo kulikuwa na "a thread within a thread" kuhusu "populism" na kama ulivyom define hapo Ron Paul, ndicho nilichomaanisha katika ku dispute assertion kwamba "every politician is a populist" kama ilivyoletwa na mwenzetu mmoja hapa.
Hata kama Magufuri yuko right kwa mujibu wa cirumstances za kibongo, yuko right katika framework iliyo wron
Q
Ikiwa inabidi Waziri ahamaki live ili kazi ifanyike, avunje kanuni za "collective responsibility" na kuacha kutumia communication channels zinazohusika, tuna tatizo kubwa katika the larger framework ya politics zetu kiasi kwamba hata kama Magufuli atapata results at the operational level, the strategic framework is crumbling.
On one hand I like his hands-on management style because it can keep people who report to him on their toes but on the other I don't like the public scolding.
So I'm kinda torn.
On one hand I like his hands-on management style because it can keep people who report to him on their toes but on the other I don't like the public scolding.
So I'm kinda torn.
Mnatakiwa kuelewa kuwa mazingira anajifanya kazi magufuli ni magumu...
yupo kwenye baraza kwa mapenzi ya wananchi na viongozi wastaafu....
mnaongelea collective responsibility......mbona hamkumtetea rais na waziri mkuu walipomkemea hadharani kwa kutekeleza sheria ya kuvunja nyumba zilizo kwenye hitadhi ya barabara......
a syndicate...naona ni safi kabisa ameongea wazi ili wajuwe tatizo la barabara kuckelewa Kwisha linaanzia wapi....
au tatizo la baadhi ya wakandarwsi Wenye miraji kidogo kulipua barabara......hawalipwi kwa wakati!!!!!!!!! Ni wazi kuwaambia Wenye nchi kwani tangu January 2011 wakandarasi wanadai billion 700 kwanini hawalipwi ...wakati miradi mingine inajengwa na pesa za mikopo au za wafadhili amabazo wizara ya ujenzi in a taarifa zipo hazina...wanaficha za nini?............mbona mkapa alikuwa anajenga barabara na hata mradi wa maji lake victoria kwa pesa za ndani na wazabuni wanalipwa na waziri akiwa magufuli,....sembuse pesa za grant
Ikiwa inabidi Waziri ahamaki live ili kazi ifanyike, avunje kanuni za "collective responsibility" na kuacha kutumia communication channels zinazohusika, tuna tatizo kubwa katika the larger framework ya politics zetu kiasi kwamba hata kama Magufuli atapata results at the operational level, the strategic framework is crumbling.
Mkuu wangu tunaambiwa miradi ya maendeleo inayofadhiliwa na wafadhili haijakwama na makandarasi wanalipwa kadri wanavyofanya kazi na kudai. Tatizo lipo kwenye miradi ambayo inalipwa kwa pesa za ndani yaani ambayo inalipwa na pesa za walipakodi wa TZ. Nina shaka kama kuna ukweli wowote juu ya mkulo kukatalia fedha za wafadhili kwa kuwa utaratibu wa malipo ya fedha za wafadhili una mambo mengi kiasi kwamba ukitaka kudivert funds inauwa vigumu sana.My mkuu sana..Bill,sisi tulio nyumbani wengi wameshachoshwa na siasa za maneno matupu...ambazo hazina maendeleo .....tumeshaamua ndani ya ccm if hatasimamishwa kiongozi wa vitendo Kama Magufuli ...basi urais utaenda Chadema.
Hii issue ya magufuli ,he is right ..baadhi ya pesa za ujenzi wa barabara zipo hazina ....toka world bank,European union au Japan.....sio suala la kusubiri makusanyo ya kodi Kama hiyo mishahara....sasa katika Hali Kama hiyo kwa nini wajenzi wachelewe kulipwa? .....yeye sio mjinga Hadi kulalamika .....ni wazi inawezekana katakana na nakisi kwenye budget ...Mkullo Ana divert some funds za miradi yenye pesa kulipa mishahara au matumizi mengine....na kusubiri kuwalipa wazabuni kadiri anavyopata malipo ya kodi .......hiyo ni Hali ambayo kabla ya mwaka 1995 ...ilikuwa ikijitokeza Hadi kusababisha .wafadhili wa maendeleo kipindi fulani wakawa wanapeleka pesa za miradi moja kwa moja kwenye akaunti za miradi kwenye bank za biashara ........
Bill katika siku za karinbuni kuna wafadhili wanalipa wenyewe miradi Yao ya barabara....na trust me ujenzi inaenda haraka ...na kwa kiwango...wamekataa kupitishia pesa hazina.....uliza watu,barabara ya tanga to horo horo na kule sumbawanga zinazojengwa na wamarekani kupitia millennium challenge ....malipo Yake yote hayapiti hazina.....
Ni makosa sana kutaka magufuli ache kuwa yeye kwa sababu tu Atagombea urais....kwani ni Tabia gani ya magufuli mliokuwa hamuhifahamu? Huo ukali hajaanza Leo ...? Hao wapole wamesaidia nini?
Well, Mkuu Philemon Michael a good debater hukubali anapozidiwa hoja, hoja zako zinaonyesha ukaribu na uelewa wa hali ya juu sana on the subject, I salute you na hands down! - Le Baharia
Mkuu wangu tunaambiwa miradi ya maendeleo inayofadhiliwa na wafadhili haijakwama na makandarasi wanalipwa kadri wanavyofanya kazi na kudai. Tatizo lipo kwenye miradi ambayo inalipwa kwa pesa za ndani yaani ambayo inalipwa na pesa za walipakodi wa TZ. Nina shaka kama kuna ukweli wowote juu ya mkulo kukatalia fedha za wafadhili kwa kuwa utaratibu wa malipo ya fedha za wafadhili una mambo mengi kiasi kwamba ukitaka kudivert funds inauwa vigumu sana.