kalokolaVIII
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 396
- 183
Likizo ni haki ya mfanyakazi. Waziri Magufuri hapa anaweza kuwa accused kwamba ana run a sweatshop type of operation ambayo ni noma. tena anaweza kuwa ana violate kanuni za mikataba ya kazi ya kimataifa iliyopitishwa na International Labor Organization (ILO)
Halafu kiusalama mtu kufanya kazi bila likizo haifai, kuanzia kiafya mpaka katika job auditing.
Hivi Tanzania hamna vyama vya wafanyakazi? Waziri atasemaje watu wasiende likizo?
Au mmekosea kumpata vizuri?
A dictator can be a politician by virtue of political office just as a pope can be a politician by virtue of being a head of state. So it is not true that dictators are not politicians, they are politicians who practise dictatorial politics as opposed to democratic politics.
If what Mkapa did, and how the people reacted has no meaning to you, you have no busines issuing blanket statements about all politicians.
Huwezi kusema "all politicians are populist" wakati kuna nchi kama Tanzania ambayo haihitaji politicians awe populist, Malecela kasema kwa wananchi "You can go to hell", Msuya kawaambia "Kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe", Mramba kasema "Radar tutanunua hata kama watu itabidi wale majani"
Kweli unaweza kusema "all politicians are populist"?
Halafu naona kama unataka ku revise context ya msemo wako wa "all politicians are populist" iwe valid katika systems zenye true democracy tu, una mu excuse Mkapa kwa sababu Tanzania si democratic (well, are political leaders in non-democratic states not politicians?)wakati msingi wako wa kusema "all politicians are populists" umetokana na siasa kuanzia za Tanzania mpaka za nje.
All blanket statements are bound to be wanting, and yours is wanting in a very significant way.
Mr.Kiranga!!
I'm still waiting,hope not in vain, your definition for POPULISM thence POPULIST!!
Ron Paul is not a populist, he adopts some very controversial positions that defies the American political orthodoxy in a way that threatens his chances.
Huwezi kusema mwanasiasa anayeadvocate general legalization ya marijuana na prostitution, abolishing the Federal Reserve na kusimamisha vita zote abruptly ni "populist". Hizi si popular positions.
nitajitahidi kukusoma vizuri zaidi labda nitakuelewa unataka kumaanisha nini...
Not every Tanzanians knows who Ron Paul is; sometimes let use the best examples which can make easy to follow the topic; so please guys let go local we have all types of politicians name it wezi, waongo, wakweli; wanafiki; majuha, malaya, wadini etc; just suggestion I don`t mean to offend anybody.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Populism can be defined as an ideologypolitical philosophy, or type of discourse. Generally, a common theme compares "the people" against "the elite", and urges social and political system changes. It can also be defined as a rhetorical style employed by members of various political or social movements (a form of mobilization that is essentially devoid of theory)
statism - is a political phylosophy which holds that a small group of professional politicians know better than the people of a state and should make decisions on behalf of them
Nimecopy na kupaste from wikipedia!!
...Au North Korea hamna wanasiasa? - Mr. Kiranga!!
ina maana ulikuwa bado hauna habari kuwa north Korea hakuna wanasiasa??
Labda Kim il Sung, alikuwa na traces za siasa, si mtoto wake Kim Il Jong wala mjukuu wake Kim Jong Un ambaye ndiye ameteuliwa kuwa supreme leader ni wanasiasa - mimi sometimes ninakuwa na wasiwasi kuwa mimi na wewe tunatofautiana zaidi ktk definitions - tukishakubaliana ktk hilo mimi nina hakika tutakuwa tunazungumza lugha moja. ahahahaha
nimekuwekea maana ya populism na statism unaweza kuzipata hata kwenye Oxford or Cambridge english dictionaries nimeweka @ wikipedia kwasababu nimeona nikurahisishie kazi hata wao wameandika pages na pages kuhusu populism na statism. Mwenye authoritu ya kudifine ili ukubali ni nani huyo ili nami nikatafute mawazo yake???
My reference to wikipedia is nothing but simple "sarcasm" - it was like telling you " if you want you can even consult wikipedia"
We acha kudanganya, wapogoro huwa hawana "r". Wapogoro wanatumia "L" kwa kwenda mbele. We lazima utakuwa wa kutoka marawe dada utahangaika sana na mimi juu ya hizi ri za kipogoro,ndio zimenifikisha huku nakula kodi za wazungu wezi wa mali ghafi zetu,
utahangaika sana kurekebisha,lakini kiukweri ndizo zinazo nipa maisha majuu
Mimi nikitaka industry specific definition sisomi Oxford or Cambridge English Dictionary, natafuta industry specific dictionary. Na sihitaji dictionary kuangalia hili kwani nalifahamu.
Ningehitaji ninazo hapa somewhere "Oxford Dictionary of Sociology" na Political Science.
Sarcasm is the lowest end of wit. Humpi reference mtu anayejua maana, unampa asiyejua maana.
Umeshindwa kumu align Mkapa na populism vis a vis his fiscal policy kama nilivyokutaka hapo juu.
Hujanionyesha katika mfumo ambao Mwanasiasa anaweza kuiba kura na hivyo hahitaji kura za wananchi anashindwaje kutokuwa populist.
Kelele zote zile kwamba miradi hii yote tunajenga na pesa zetu wenyewe, kumbe hatujalipa hata mia! Siasa bana we acha tu.Chinese contractors say govt owes them 287bn/-
Chinese Contractors in the country have appealed to the government to pay them a 287.1bn/- outstanding debt so that they could proceed with the construction of 2,405.6 km trunk roads now stalled. Addressing journalists in Dar es Salaam yesterday, the chairman of the Chinese Contractors Association, Wang Jingli said the money was owed since 2009, and has affected their ability to proceed with the work. The serious consequence of this has witnessed the exhaustion of our member companies lines of credit from the banks and the temporary suspension or slowdown of some road projects being implemented, he said.
He said his association which is made up of more than 20 road contractors had been writing to the ministries of Works and Finance and Tanzania National Roads Agency (Tanroads) regarding their dues, but they have been told to wait. The chairman stressed that the members of his association know the importance and urgency of the unfinished roads and were committed to executing the projects, but blamed the governments repeated failure to make payments as cause for delays of the road projects.
Jingli also said the delay in payment and the consequent stalling of the projects has also led to loss of jobs by some of the local employees.
In the past few years, our member companies have played a major role and contributed substantially to the infrastructure development of Tanzania, especially in the road constructions sector. Among the 3,673.9 kilometers of trunk roads under construction in the country, 2,405.6 km are being built by our member companies. It is around 65.5 per cent of the total length, but we are not getting our money since 2009 he said
We strongly appeal to the Tanzania government and amicably urge ministry of Works and Tanroads to take instant and positive action to honour the signed contracts and expedite the payment of the huge amount of money due to our member companies without any delay. The delay may not affect us only but Tanzanian nationals as well, he said. Jingli named some of the road projects which might be affected if the government did not pay them in time as Kigoma Kidahwe, KidahweUvinza Ilunde, Tabora Ndono, Isaka Ushirombo, Kyaka Bugene, Mwandiga Manyokovu and Nyangunge Musoma /Kisesa Bypass (Musoma Mwanza border).
Other road projects affected are the upgrade of Sam Nujoma Road, Kigoma Lusahunga, Dareda-Babati-Minjingu, Ruvu Bridge construction, Bonga Babati, Kondoa access and widening of Kilwa Road. He named other road projects which maybe affected as Buzirayombo Geita, Geita Usagara, Singida Katesh, Katesh Dareda, Manyoni Itigi Chaya, Puge Tabora, Dodoma Mayamaya and Kanazi Kiza-Kibaoni. When contacted, Tanroads Information Officer, Aisha Malima refused to comment, asking the reporter to forward questions to the agencys Chief Executive Officer, who would then assign the responsible officer to prepare answers.
SOURCE: THE GUARDIAN