Magufuli aliwaogopa wanamtandao kutengeneza Katiba Mpya

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,096
Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa.

Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni vigumu kwenye huo mhula wake wa kwanza kukamilisha mchakato wa katiba, kwa sababu wanamtandao hawataki katiba mpya, na kwamba yeye Magufuli kwa muda huo, ndani ya CCM, ni sawa na mtu ambaye yupo mtoni anaoga, lakini nguo zake zimeshikiliwa na hao wanamtandao. Akiwaudhi, wakiondoka na nguo zake, yeye atatoka vipi huko mtoni anakooga?

Hivyo akaomba upatikanaji wa katiba mpya ufanyike kwenye muhula wake wa pili. Bahati mbaya, mwanzoni tu mwa muhula wake wa pili, Mungu akampenda.

Leo ndiyo tumejua kuwa kumbe kizingiti cha kupatikana kwa katiba mpya ni Kikwete.
 
Polepole aache hadaa za kijinga. Magufuli alisema hadharani kuwa kwenye kampeni zake hakuahidi katiba mpya, na watu hawataki katiba mpya, bali wanataka maendeleo. Ifahamike katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya ccm. Aache utapeli wa kijinga.
 
kwa sasa twende na Polepole tu maana anachochea kuni ndani ya CCM moto uwake vizuri.
 
Polepole aache hadaa za kijinga. Magufuli alisema hadharani kuwa kwenye kampeni zake hakuahidi katiba mpya, na watu hawataki katiba mpya, bali wanataka maendeleo. Ifahamike katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya ccm. Aache utapeli wa kijinga.
Sasa si ndiyo maana Polepole amejibu leo hapo kwamba Magufuli hakutaka kuongelea katiba mpya sababu ya kuwaogopa hao "watu". Kwahiyo ulichosema wewe na alichosema Polepole ni sawa
 
Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa.

Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni vigumu kwenye huo mhula wake wa kwanza kukamilisha mchakato wa katiba, kwa sababu wanamtandao hawataki katiba mpya, na kwamba yeye Magufuli kwa muda huo, ndani ya CCM, ni sawa na mtu ambaye yupo mtoni anaoga, lakini nguo zake zimeshikiliwa na hao wanamtandao. Akiwaudhi, wakiondoka na nguo zake, yeye atatoka vipi huko mtoni anakooga?

Hivyo akaomba upatikanaji wa katiba mpya ufanyike kwenye muhula wake wa pili. Bahati mbaya, mwanzoni tu mwa muhula wake wa pili, Mungu akampenda.

Leo ndiyo tumejua kuwa kumbe kizingiti cha kupatikana kwa katiba mpya ni Kikwete.
What a load of rubbish! Hii ni biggest jock of the year: yaani Magufuli alitaka Serkali 3? Ili Waarabu wa CUF watawale Zanzibar na CHADEMA (huku Bara) wajitawale "Majimbo" kwa Ukabila? Biggest joke of the year. Kikwete alipinga Serkali 3 NDIYO, pamoja na Askofu Pengo pamoja na Professor Shivji pamoja na Watanzania mamilioni. Kuona wameshindwa hoja yao Serkali 3 wasaliti wetu (CHADEMA na CUF) wakajitoa. Polex2 akabaki lwake Kuna siku akapendejeza Tume iitwe akakataliwa. Sasa ni giza kidogo kwa vile kinara wa Ukabila CHADEMA hayuko madarakani tena, kote kote wameingia Wachagga wazalendo, akiwemo Askofu Malasusa KKKT - nguvu ya Ukabila sasa imekufa. Imebaki nguvu ya matusi na uchochezi, eti atakinukisha hatujui mnukaji ni nani ananuka nini.
 
Polepole aache hadaa za kijinga. Magufuli alisema hadharani kuwa kwenye kampeni zake hakuahidi katiba mpya, na watu hawataki katiba mpya, bali wanataka maendeleo. Ifahamike katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya ccm. Aache utapeli wa kijinga.
Shida yako comprehension level yako iko chini sana
 
Kama walikusudia katiba mpya ipatikane awamu ya pili ya uongoiz wa wa rais JPM, je waliweka hilo ndani ilani ya chama ya mwaka 2020 hadi 2025? kama hawakuweka walisahau? waliogopa? au waliamua nia yao ibaki tu ndani ya vifua vyao?
 
Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa.

Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni vigumu kwenye huo mhula wake wa kwanza kukamilisha mchakato wa katiba, kwa sababu wanamtandao hawataki katiba mpya, na kwamba yeye Magufuli kwa muda huo, ndani ya CCM, ni sawa na mtu ambaye yupo mtoni anaoga, lakini nguo zake zimeshikiliwa na hao wanamtandao. Akiwaudhi, wakiondoka na nguo zake, yeye atatoka vipi huko mtoni anakooga?

Hivyo akaomba upatikanaji wa katiba mpya ufanyike kwenye muhula wake wa pili. Bahati mbaya, mwanzoni tu mwa muhula wake wa pili, Mungu akampenda.

Leo ndiyo tumejua kuwa kumbe kizingiti cha kupatikana kwa katiba mpya ni Kikwete.
 
Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa.

Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni vigumu kwenye huo mhula wake wa kwanza kukamilisha mchakato wa katiba, kwa sababu wanamtandao hawataki katiba mpya, na kwamba yeye Magufuli kwa muda huo, ndani ya CCM, ni sawa na mtu ambaye yupo mtoni anaoga, lakini nguo zake zimeshikiliwa na hao wanamtandao. Akiwaudhi, wakiondoka na nguo zake, yeye atatoka vipi huko mtoni anakooga?

Hivyo akaomba upatikanaji wa katiba mpya ufanyike kwenye muhula wake wa pili. Bahati mbaya, mwanzoni tu mwa muhula wake wa pili, Mungu akampenda.

Leo ndiyo tumejua kuwa kumbe kizingiti cha kupatikana kwa katiba mpya ni Kikwete.
Aliwakataa KING MAKERS

Wewe unaamini kauli zote za wanasiasa hadharani huwa zinatoka moyoni?
Labda alitaka Magufuli aseme hadharani kuwa kikwete au wanamtandao ndio wanazuia katiba mpya. 😆😆
 
Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa.

Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni vigumu kwenye huo mhula wake wa kwanza kukamilisha mchakato wa katiba, kwa sababu wanamtandao hawataki katiba mpya, na kwamba yeye Magufuli kwa muda huo, ndani ya CCM, ni sawa na mtu ambaye yupo mtoni anaoga, lakini nguo zake zimeshikiliwa na hao wanamtandao. Akiwaudhi, wakiondoka na nguo zake, yeye atatoka vipi huko mtoni anakooga?

Hivyo akaomba upatikanaji wa katiba mpya ufanyike kwenye muhula wake wa pili. Bahati mbaya, mwanzoni tu mwa muhula wake wa pili, Mungu akampenda.

Leo ndiyo tumejua kuwa kumbe kizingiti cha kupatikana kwa katiba mpya ni Kikwete.
Humphley polepole nimzalendo sana mkuu
 
Back
Top Bottom