Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Atawale mileleNi Kweli inauma sana aisee alituahidi watumishi wanaolipwa mishahara ya chini watalipwa mishahara inayopunguza ukali wa maisha.lakini hakuna chochote hadi Leo Maanake nini hatuelewi watumishi vipi! viongozi wa vyama vya wafanyakazi VIP!? Yani ni mbaya sana kubaguliwa sisi watumishi wa umma.
Umeandika kama kiongozi wa serikali hii.Waungwana
Kwanza naomba tuvumiliane
Tunajua yote mnayopitia ndugu zetu Watumishi
...kuhusu kupunguza kiwango cha juu cha mshahara hilo tumetekeleza hadi 15M.
Kwa sasa mvumilie wakati tunaweka sawa mambo
Ni matarajio yetu mda si mrefu mtaona Matunda yake
Hiyo mishahara mikubwa aliyopunguza hizo hela kwa akili yako zingelipa nyongeza kwa wafanyakazi wa chini senti ngapi kwa kila mmoja? Si mtumiage hata akili zenu kidogo? Hizo hela zitakuwa zimekununulia ARV na vitu vingine.Hii kiki ilitrend sana,kwamba haiwezekani mtu mmoja analipwa mil 30 huku mwingine analipwa 150,000!Akasemq atapunguza hiyo mil 30 na kuigawa ili kuwaongezea hawa wa chini!!Watu wakashangilia kama kawaida halafu baada ya muda wanasahau!
Vipi jamani, ni muda sasa umepita kimya! Hatusikii chochote juu ya hilo! Kuna mtu kapunguzwa mshahara? Kuna mtu kaongezwa mshahara? Annual increment yenyewe ni mgogoro, tokea jamaa ameingia hakuna mfanyakazi amepanda ngazi au kupata ongezeko la kila mwaka la mshahara ambali lipo kisheria!
Ngosha vipi?Wale washangiliaji mpo?
Amen mkuuMsiwe na wasiwasi...
Pesa iliyotokana na watu kuwapunguzia mishahara tumeipeleka kwenye ujenzi wa Chato International Airport!!
Pesa ambayo ingetumika kuongeza mishahara, kupandisha watumishi madaraja na hatimae kuajiri watumishi wapya; hiyo tumeipeleka kwenye Bombardiers & Boeing!!
In fact, tupo mbali sana kufikia malengo, kwahiyo wazalendo tunawaomba mvute subira... mambo mazuri hayahitaji haraka!
Sema AMEEEEN!
Hiki ulichokisema mkuu ni kweli kabisa. Haya mambo yote ni ya kisheria.rais anaweza kuamua jambo kwa kauli tu...ni kweli.
lakin suala la kupunguza mishahara ya watumishi haliwezi kufanyika kwa kauli moja tu (ya rais)
hii ni ishu ya kisheria, mshahara haupandishwi kwa matamko na wala haupunguzwi kwa matamko...ni lazima sheria ibadilishwe kwanza ili jambo hilo lifanyike.
sasa tujiulize, lini bunge lilirekebisha hiyo sheria???
hata ile ishu ya kusema anajipunguzia mshahara, halipo. maana katiba inasema (kifungu sikumbuki) "..raisi hatopunguziwa mshahara na malipo yake mengine kwa muda wote ataokuwa madarakani. na hakuna sheria ya kubadili hiyo.."
wafuatiliaji wa katiba wataleta hiyo article