Magufuli alipunguza mishahara mikubwa ili wagawiwe wenye mishahara midogo?

Comrade
Naomba nikufahamishe mambo mawili;
1. Mishahara ya Watumishi wa Umma kutoka Hazina kwa mwezi ni zaidi ya 50% ya makusanyo ya Serikali kwa mwezi. Kinachobaki ndio kiende kwa maendeleo na matumizi mengine ya Ofisi.

Hili halikubaliki hata ungekuwa wewe ndio Rais

2. Taasisi za Umma ambazo zinajilipa zenyewe zilikuwa zinalipa CEO mishahara hadi 40M kwa mwezi, wakati hizi ni Fedha za Umma huku kuna mtumishi analipwa 300,000

Hili halikubaliki hata ungekuwa wewe ni Rais

Kuhusu hoja ulizosema;

1. Hili suala lilienda bungeni na likapita. Lengo hela ipatikane zaidi na kuweza kuwasaidia wengine. Serikali inataka bodi ya mikopo ijiendeshe sio kupewa hela na Serikali

2. Lengo ilikuwa kutoa Watumishi hewa na wenye vyeti feki.

3. Nyongeza na ajira kulingana mahitaji halisi zitaanza 2017/18. Naomba tuvumilie kidogo ndugu zangu.

Ndugu zangu Watumishi, Serikali inajua kilio chenu na kuanzia 2017/18 mambo mengi yatafunguka.

Tunaomba uvumilivu ili tujenge Taifa jipya la Wachapazi na kutumikia wananchi wenzetu
Mkuu vp mbona bado hamjaongeza na mwaka unaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom