Uchaguzi 2020 Magufuli alipokuwa Singida alisema kuwa yeye ndiye aliyepanga Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo wagombee wapi

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Wakuu, Magufuli alisikika akiwa Singida akisema kuwa yeye ndie aliewapanga Mwigulu Nchemba agombee wapi na Kitila Mkumbo agombee wapi.

Swali langu inamaaana Siku hizi kuombea ubunge ni kama nafasi za UDC? Za kuteuliwa? Hiii inaonesha list ya nani agombee wapi nchi nzima inapangwa na mtu mmoja tu, swali langu Kama hakupendi si ndio imekula kwako? Nauliza inamaana ule mfumo bora wa haki Ya kuomba nafasi Ya kugombea wa Ccm umekufa? Kwa hiyo Kwa sasa Ccm haina cha wanachana wa wilaya wala Kamati

Sio maneno Yangu ni maneno mliosikia toka Kwa mdomo wake, mliaambiwa kuwa akimaliza kuvuruga democracy kwenye vyama vya siasa atakuja kwenu hamkweelewa, na akimaliza kuuruga mfumo atakuja Kwa mwanachama mmoja mmoja.

Mkiambiwa kuwa Ccm ilishaporwa msiwe mnatokwa povu muwe mnaelewa.

Nafas ndio hii kamwaga ugali mwageni mboga ili mkose wote halafu muanze upya, nendeni Kwa wingi mkamkate.
 
Wewe hangaika na ya Chadema ya ccm waachie ccm wao ndio watafanya maamuzi, haya mambo ya kuongelea yasiyokuhusu utajikuta umebakwa eboo!
 
Ww hangaika na ya Chadema ya ccm waachie ccm wao ndio watafanya maamuzi, haya mambo ya kuongelea yasiyokuhusu utajikuta umebakwa eboo!
Ndio maaana kwenye jukwaa mnashindwa kujieleza, nahis unaweza ukawa Msukuma wewe ndio washamba wa kutojua kujieleza na kutumia matusi tu, na maneno yasio na staha kwenye jukwaaa eti mnanyonyo na wanaume wapo, ulisikia wapi? Hamjui kujibu hoja na hamjui kujieleza mnakimbilia bunduki na kuteka watu
 
Ndio maaana kwenye jukwaa mnashindwa kujieleza, nahis unaweza ukawa Msukuma wewe ndio washamba wa kutojua kujieleza na kutumia matusi tu, na maneno yasio na staha kwenye jukwaaa eti mnanyonyo na wanaume wapo, ulisikia wapi? Hamjui kujibu hoja na hamjui kujieleza mnakimbilia bunduki na kuteka watu
Sio kwamba hajui kujieleza ila kasema ukweli. Kwani hamna manyonyo??

Halafu mbona unamihemko? Huu mchezo hauhitaji hasira,.
Kama walikuahidi cheo wakishika madaraka kwa masharti kukunyandua basi imekula kwako Dada Joyce
 
Jiwe limejijenga kwenye misingi ya uongo uongo.
Hatutaki rais muongo.
1.Jana tu ameongopa kuhusu nyerere kutawala miaka 27.
2.juzi amesema maendeleo hayana vyama alafu anasema msowachague wapinzani hata kama ni wazuri.
3. Tunakopa mikopo kwenye Miradi jiwe anasema ni hela zetu wenyewe.
4. Idadi ya viwanda vya uongo.
5. Idadi ya ajira za uongo.
6mala aseme hajawahi kwenda ulaya mala aseme ameenda.

WATANZANIA AMKENI ACHANENI NA HUYU MUONGO.
 
Back
Top Bottom