MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,269
- 10,863
Huyu jamaa atakuwa anamwelewa vizuri JPM na ndo maana alichokiandika takribani mwaka sasa umepita leo kinaonekana. Magu ana maamzi ya pupa na atatupeleka pabaya kwa style. Nani atamfunga spidi gavana leo hii kama akina " "Charuka" wamekalia kupiga kelele ongeza spidi na kwenda mbali zaidi kwa kuwashusha kwenye gari (bunge) wasiopendezwa na mwendo kasi.Kuna manabii aisee mjumbe weka kapu la sadaka nitoe.