BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,032
- 8,489
Namwona Amatus Liyumba
Loh! Sijui nimo?
Watu muhimu kabisa hawapo kwenye list
mkuu ni kweli kabisa ma big wig wote 90%ya unga wao ni njia tu unapita hapa wao ela zao wanapata kwa kuuza nje,makilo kwa makilo na wao unga wao unaletwa na majahazi na wapakistani..utakuta only 10%ya mzigo wote unaoingia ndo unauzwa hapa na hawa wadogo wadogo ndo hao wanatajwaWatawataja ila hawawezi kuwakamata ata wakiwakamata hawawezi kuwafunga. Hao maboss wa unga wengine hawajawai ata kuuona huo unga unafananaje utamfungaje mtu bila ushahidi ndio maana yule Waziri jana alisema kuwa na list peke yake sio dawa. Watu wanaleta siasa wanajifanya wana uchungu sana. Bongo biashara ya unga ni njia tu hamtakaa muwakamate ma big wig mtaishia kukamata nyoka wanaofunga vumbi la Pakistan.
CCM wameshindwa kabisa hii vita,Tunaomba WATETEZI WA WANYONGE KINA BABA MBOWE;MSIGWA;TUNDU LISSU,SUGU,LEMA na makamanda wengine WAWEKE HADHARANI orodha ya wauza sembe watuokoe.................................Hatua zichukuliwe maana hata JK alikabidhiwa.Hadi sasa jitihada za Amina Chifupa hakuna aliyethubutu kuziendeleza.Sasa tuone...
Hongereni Jamhuri kwa kulisaidia Taifa,Hongereni kaka zangu Manyerere na Balile
Tena gazeti liwe publicised kwa nguvu leo hata kwa social media ili lisomwe kwa wingi tuitie serikali pressure ya kuchukua hatua.
Mbona Hiyo ORODHA Haipo Ktk Huu Uzi Wako!!?? Kumbe WATANZANIA Ni Waooga Tu, Maana Kama Unasema Gazeti Limetoa ORODHA, Why Ww Haukuiweka Hapa WATANZANIA Tusio Na Access Ya Kusoma Hayo Magazeti Yenu!!!! ALAFU Kama Ni ORODHA Mbona Hata Mzee Wa MSOGA Alikabidhiwa Na TUME Yake Aliyoiunda Mwenyewe!!!? Lkn Hadi Ameondoka Hakutajwa Hata Mmoja!!! TULIMSIKIA Waziri Lukuvi Akisema BUNGENI, Kuwa Eti Hiyo ORODHA Endapo Itasomwa Na Kuwekwa HADHARANI, Kuna WATU Humu BUNGENI Mtaadhirika, Kwa Maana Yake Kuwa Humo BUNGENI Kuna Mataikuni KIBAO!! Ila Wanalindwa Tu!! NDIO Maana WATANZANIA Tunaamini Kuwa BIASHARA Ya UNGA Inafanywa Na Vigogo Ktk. Nchi Serikalini!!! NDIO Sababu VITA Vyake Ni Vigumu Kufanikiwa!!!!!
Hatua zichukuliwe maana hata JK alikabidhiwa.Hadi sasa jitihada za Amina Chifupa hakuna aliyethubutu kuziendeleza.Sasa tuone...
Hongereni Jamhuri kwa kulisaidia Taifa,Hongereni kaka zangu Manyerere na Balile
Tena gazeti liwe publicised kwa nguvu leo hata kwa social media ili lisomwe kwa wingi tuitie serikali pressure ya kuchukua hatua.